Tatizo nini mkuu, nieleze nione kama naweza kukusaidiaBiashara gani
Nauli unayo ya kwenda Dodoma na kuishi siku tatu.Mkuu kila niki apply najibiwa kama picha inavyoonyesha, nishajaribu kila mbinu hola mkuu
Hujanielewa kabisa..Ningekuwa nayo nisingepost humu kuomba msaada mkuuu
Mbona ujumbe uko self explanatory mzee.Habari zenu wadau,
Jamani nimeandika huu ujumbe maana sasa imekuwa kisanga kwanza ni mwaka sasa nahangaika na mfumo wa ajira portal bila mafaniko na kila nikiwapigia siimu hawapokei, nourishing kipipigwa block tu. Nimejaribu kwenda pale DSM, posta kwenye ofisi za utumishi nikaambiwa niende Dodoma.
Mwenye msaada ajitokeze
View attachment 2015314
Index number ya form 4/ 6 unaijua kweli? Kama unaijua nenda katika kipengele cha academic qualification ijaze kwa format iliyo katika hiyo picha yakoHabari zenu wadau,