😭😭😭😭😭😭😭Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anaye ona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anaye ona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.
Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.
My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.
Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.
Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.
Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
KATAA WAHUNI, OKOA TANGANYIKA.✍️📌Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.
Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.
My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.
Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.
Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.
Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Kutoka 14:14.
Hii inanipa amani zaidi. Kipekee baada ya ile novena ukimya mwingine pekee ni asbh na usiku kumuachia yeye wa Mbinguni. Maana alishaweka ahadi yake kwetu.
Idara zimetekwa na Wanamtandao! Sioni tukitoboa likitokea la kutokea.Bahati mbaya idara ulizozitaja zimekuwa jumuia za Chama. Hazielezwi wala haziambiwi
Mkuu wa usalama yuko wapi? Nani anaongoza idara kwa hivi sasa?Bahati mbaya idara ulizozitaja zimekuwa jumuia za Chama. Hazielezwi wala haziambiwi
Watu wanataka tu miujiza bila kuhusikaMimi ni mkristu na ninaiamini novena kwa asilimia mia lakini mkuu, kuna mambo ya kumtegemea Mungu na kuna mambo ambayo binadamu anatakiwa kutumia utashi na reactions zake kuyafanikisha.
Sisemi ni vibaya kumtegemea Mungu ila pia siamini kuwa Tanzania tunasali sana, watakatifu sana au ni taifa special sana kuliko hayo mengine yaliyojawa vita, machafuko, uharamia, human trafficking etc
Naamini Mungu ni mwanzo na mwisho wa yote lakini ametupa utashi na fikra za mfano wake pia. We are not useless and helpless