Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Wamenogewa hao na rushwa hawaijali tena nchi wala hawawajali tena wananchi wao wako busy kulinda majizi
 
Huu utabiri wa kijinga na kipumbavu nafikiri sasa ufike mwisho. Au nashauri Moderators wa JF wakusanye tabiri zoooooooooooooote kuanzia kwa Yahya Hussein za mwaka 2005 hadi za huyu mtoa post ziwekwe folder moja ili wapende tabiri waperuzi na kujua tabiri zipi zilitoa na zipi zilichana mkeka!
Wacha weee! Kweli wewe ni mtoto wa shule
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Huyu jamaa aliona mbali sana
 
Duuh na bado wanakuchamba vijana ya vvu centimeter. Haya tuambir mkuu tuweke chakula zaudi au yameisha?
 
Na sasa ni muda wa kuchelewa sana,binafsi nawalaumu kwa hali iliyowakuta wa tanzania hata ambao walikuwa na ratiba zao za kila siku kukutwa na madhara kisa ukosefu wa taarifa wa kudhamiria,maisha ya watu wengi yangekuwa salama.Hivi leo,ila waliokuwa hawana bahati ndio bile tena.
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
TumainiEl swali la msingi kabisa aliyekuwa anaua watu na kuzuia wasitibiwe ni nani? Tunapowasingizia wageni je tuna tumw huru ya uchaguzi? Je samia alichaguliwa kwa kura??? Mambo mengine adui tunampa promo kwa sababu kuna milango tumeruhusu iwe wazi
 
Mnalalama Tu mnashindwa kukodi ma sniper waje Kufanya kazi ya kuangusha miamba mitatu na itajulikana kbs mnayoilalamikia..usituigopeshe kihivyo hakuna njaa bongo na bia tutaendelea kunywa na tutaendelea kuzaana mark my words labda ndo utajiri ndo kitu hatutopata
Vipi mkuu, jamaa aendelee ku "mark your words"? Ama aendelee kusubiri.
 
@TumainEl nipo hapa December 2025, na imenibidi nipite post zako zote. Mungu akusaidie lakini pia pole sana kwa jukumu zito la kiliombea taifa.
 
Back
Top Bottom