LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Which is....The point is clear
Which is....The point is clear
Huu utabiri wa kijinga na kipumbavu nafikiri sasa ufike mwisho. Au nashauri Moderators wa JF wakusanye tabiri zoooooooooooooote kuanzia kwa Yahya Hussein za mwaka 2005 hadi za huyu mtoa post ziwekwe folder moja ili wapende tabiri waperuzi na kujua tabiri zipi zilitoa na zipi zilichana mkeka!Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.
Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.
My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.
Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.
Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.
Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
😂😂Kwahiyo nabishana na mtu bandia??
Bora ingekuwa hivyo. Zimeingia kwenye ufisadi rasmi. Kila mtu anaangalia hela. Wazanzibari wameamua kutumaliza na kuharibu reputation yote ya Tanzania.Bahati mbaya idara ulizozitaja zimekuwa jumuia za Chama. Hazielezwi wala haziambiwi
Haya ni matokeo ya VIONGOZI WAISLAMU hii code itavunjwa na kiongozi asiye muislamu siyo muislamu
Naye anadai haki yake, kwa waliomshambulia kuchukuliwa hatua za kisheria.✍️Lakini hujasikia agenda binafsi ya Fr Kitinya
Kama ingekuwa hivyo Israel asingesumbuwa. Akili nikila kitu ndio maana wanafalsafa wakasema ili uwe na taifa imara lazima uwe na mafumo waku trap wenye akili nakuwapa nafasi nyeti. Upo...The one with money is more powerfull than any one
Money is the purchasing power
Even all those people from Deffense and intelligence forces their first motive in joining the force was to earn money through their pay checks, there is no patriotism in this world of capitalism, you can not live without money.
The more you collect money, the more powerfull you are
Any where in any country the man who has more purchasing power (money) than any one is more powerful than the president
That is why it is easy for a man with more purchasing power to be admired by a president and urge him to be friends, because one day the president will leave the office with little purchasing power and the man with more purchasing power remain the same
If you joke with a man with more purchasing power you are joking with the national economy that is why even when a patriotic president emmerge and try to fight with that man for the bad things he did then the man if exile to another country with his purchasing power more disaster happen to the economy and employments among citizens and small business men vanish at once. That is why even a president can not avoid that truth even if he/she is not aware at first but if he/she realise that chasing or fighting with that man is dangerous to the national income and economy he/she finds himself disapointed and bargain with that man to friends and that man continue to remain powerfull even more
That is why i hate economics
Yaani nitembelee VX ya kuhongwa nijisumbue na Mambo ya watanzania ambao watu wanatekwa na kuuliwa wao wajasukuma kete bila wasiwasiNalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.
Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.
My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.
Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.
Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.
Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Andiko refu bila substance ni wastage of time. If you know something say it.Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.
Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.
My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.
Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.
Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.
Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Wee jamaa inabidi upelekwe kwenye tiba ya akili. Najuwa ulikuwa kwenye kikosi cha mauaji cha JPM, baada ya kifo chake huna nafasi tena. Umebakia kama kichaa tu.Kama ingekuwa hivyo Israel asingesumbuwa. Akili nikila kitu ndio maana wanafalsafa wakasema ili uwe na taifa imara lazima uwe na mafumo waku trap wenye akili nakuwapa nafasi nyeti. Upo...
Utabiri wa 1,126,456 ndani ya miezi mitatu kutoka kwa wafuasi wa Braza K. Huu ndio urithi Lema aliowaachia baada ya kutokomea ughaibuni na michango yetu.Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.
Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.
My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.
Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.
Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.
Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
stupid!!!Hii hapa ...muislamu ni ngumu kuwa mzalendo kutokana na mafundisho ya dini yake hivyo waislamu ni maadui wa uzalendo
Nitajie kiongozi muislamu hata mmoja mzalendostupid!!!
Mkuu uliona mbali.Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.
Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.
My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.
Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.
Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.
Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Yaani dah😢😭Kumbe tulionywa aisee!!