Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Duu... unaona nini mkuu, juu ya ukuta!!
1756714746605.png
 
Baada ya ramli zote kuota mbawa 😂😂
 
Unataka kuwa Elon Musk wakati hata tone la GSM huliwezi?? Majirani zako mostly ndio watu mnaofanana kuanzia tabia na mambo mengine mengi, sasa wewe unaitaka demokrasia ya Marekani si vichekesho hivyo
Kwani Demokrasia maana yake ni pesa ??! Au utajiri ?!
 
Hahaha mtalalamika mpaka akili iwakae sawa.

Syria hawakusali novena walipigana, taliban hawakusali novena walipigana, m23 hawakusali novena, nyie mnataka demokrasia ya vyama, ngoja Rosti Tamu na wana mtandao wawanyooshe.
 
Kaa kimya huna akili kuzidi TEC kula ubwabwa ulale unajua deni taifa sasa hivi limefika Trilion ngapi? Tunaenda kufika kikomo kutokukopesheka hivi unajua miaka mitano maisha yatakua magumu sana kodi kichwa inaweza kurudi
Jina lako mwenyewe ni mwamguu, akili huna ndiyo maana ukaitwa mwalyayo
 
Kwani Demokrasia maana yake ni pesa ??! Au utajiri ?!
Demokrasia ni usanii tu wa mabwenyenye kujimilikisha dola. Nimekwambia nitajie nchi jirani zetu hapa zenye katiba bora na demokrasia imara ambayo viongozi wake wakuu ni malaika
 
Mimi ni mkristu na ninaiamini novena kwa asilimia mia lakini mkuu, kuna mambo ya kumtegemea Mungu na kuna mambo ambayo binadamu anatakiwa kutumia utashi na reactions zake kuyafanikisha.

Sisemi ni vibaya kumtegemea Mungu ila pia siamini kuwa Tanzania tunasali sana, watakatifu sana au ni taifa special sana kuliko hayo mengine yaliyojawa vita, machafuko, uharamia, human trafficking etc

Naamini Mungu ni mwanzo na mwisho wa yote lakini ametupa utashi na fikra za mfano wake pia. We are not useless and helpless
What is ur point here??!
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Don't worry God is in total control.
 
Back
Top Bottom