Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

Vyombo vya dola tunavionea tu.

Msingi wa vyombo ni nidhamu kwa serikali iliyopo madarakani. Kazi ya kubadilisha serikali, ni ya sisi wananchi. Kama tumeridhika au hatujaridhika lakini hatutaki kulipa gharama, tutateseka mpaka tupate akili
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Akila za lema hizi ndio amekufanya uwe namna hii

USSR
 
Mnalalama Tu mnashindwa kukodi ma sniper waje Kufanya kazi ya kuangusha miamba mitatu na itajulikana kbs mnayoilalamikia..usituigopeshe kihivyo hakuna njaa bongo na bia tutaendelea kunywa na tutaendelea kuzaana mark my words labda ndo utajiri ndo kitu hatutopata
Washamba tu hao ambao wanatengemewa kulinda maslahi ya taifa,
Mkuu ndege JOHN nakuunga mkono, wameshindwa nini kukodi watu waliombobea kwenye u Sniper?
Au Mossad walioweza kwa Snawar?
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Usalama wenyewe hao mkuu wao anayetuhumiwa kuhongwa gari la mamilioni ya hela?
 
Novena ina nguvu na mimi ni Mkatoliki pia. Lakini Novena ya TEC ya Fr Charles Kitima ni ya kinafiki na haiwezi kusikilizwa na Mungu wetu aliyehai.

Huwezi kusoma Novena kwa sababu Lissu yuko rumande kwa tuhuma za ugaidi, ni Mungu gani atakusikia? TEC imekuwa na mrengo wa CHADEMA wakati sisi waumini tuna itikadi mbalimbali kama CHAUMA, CUF, UDP, CCM etc
Novena ilikuwa kwa ajili ya kuombea HAKI katika Taifa.
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Kiongozi wa usalama tunaambiwa yupo chini ya Abdul, Mkuu wa majeshi na polisi wanalazimisha wanajeshi waende kujaza mikutano ya CCM, wanajuhumu majeshi kwa kupiga dili na Angel Kizigha, Abdul, Samia.

Mahakama unaona inavyofanya kazi kwenye kesi ya Lissu, Wabunge wote CCM sasa hivi wanateuliwa na Samia na kundi dogo sio wananchama wa CCM tena baada ya katiba ya CCM kubadilishwa. Vyama vyote vipo chini ya CCM, Vyombo vyote habari vya ndani vimepigwa pini. Wasanii wao ni kusif1ia.

Ukombozi pekee utatoka kwa kuhamasisha nguvu ya umma. Umma wote wa Tanzania kuungana kuiondoa hii serikali na kuweka serikali ya mpito huku tukirekebisha katiba. Hapa tuungane na wazalendo wote kwa maslahi yetu wote na mustakabali wa nchi hii, kesho yetu.
 
Sio lazima ufuate anavyofanya jirani !
Tuangalie mbali zaidi !
Unataka kuwa Elon Musk wakati hata tone la GSM huliwezi?? Majirani zako mostly ndio watu mnaofanana kuanzia tabia na mambo mengine mengi, sasa wewe unaitaka demokrasia ya Marekani si vichekesho hivyo
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
TISS na JWTZ ni MACHAWA wa siasa !

Siyo wazelendo kabisa
 
Mimi ni mkristu na ninaiamini novena kwa asilimia mia lakini mkuu, kuna mambo ya kumtegemea Mungu na kuna mambo ambayo binadamu anatakiwa kutumia utashi na reactions zake kuyafanikisha.

Sisemi ni vibaya kumtegemea Mungu ila pia siamini kuwa Tanzania tunasali sana, watakatifu sana au ni taifa special sana kuliko hayo mengine yaliyojawa vita, machafuko, uharamia, human trafficking etc

Naamini Mungu ni mwanzo na mwisho wa yote lakini ametupa utashi na fikra za mfano wake pia. We are not useless and helpless
Naunga mkono huu mtazamo, na mara nyingi huo napishana na jamaa zangu ambao ni walokole wa imani kali, Mungu ametufanya wanadamu kuwa viumbe special wa kufanana na yeye, hivyo basi upon uweza alioweka ndani yetu, kwamba Kwa kutumia akili na maarifa tunaweza kupata ufumbuzi wa matatizo mbalimbali yanayotukabili.
 
Koh koh koh
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Ulikuwa na ulazima wa ku code mix ?
 
Naunga mkono huu mtazamo, na mara nyingi huo napishana na jamaa zangu ambao ni walokole wa imani kali, Mungu ametufanya wanadamu kuwa viumbe special wa kufanana na yeye, hivyo basi upon uweza alioweka ndani yetu, kwamba Kwa kutumia akili na maarifa tunaweza kupata ufumbuzi wa matatizo mbalimbali yanayotukabili.
Kabisa na ndio maana ameonesha mara nyingi tu uwepo wa matumizi ya utashi na juhudi binafsi katika kuleta suluhu au nyakati njema.
Hakuwatoa tu waisrael Misri pasipo mapambano na hakuwafikisha pasipo kuwabariki katika vita walizopigana.

Ndio maana katika nyakati ngumu kuna mtu aliandaliwa ili kuondoa ugumu huo. Ukianza kwa Mussa hadi kristu, na kuna time hata mwanamke kama malkia Ehster alivunja miiko ya kifalme ambayo ingemsababishia kifo ili tu aokoe jamii yake. So hawa watu hawakukaa tu ila walifanya jambo na Mungu akaingiza mkono wake.

Miracles zipo lakini si kila sehemu usubirie muujiza kwa mambo ambayo Mungu amekupa uwezo wa kudeal nayo..
 
Amina

Kikristo ukisema amina maana yake na iwe hivyo

TUMECHOKA
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Pk amemalizana na congo kwenye malengo yake ya kujitanua, nahisi next itakuwa Tz ni maoni yangu kuhusiana na hii mada
 
Back
Top Bottom