Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Bila shaka una ABC ya mambo ya usalama. Natarajia wenyewe wamekusikia, watachukua hatua stahiki. Binafsi siwaamini wanajimu na wanaoota ndoto mchana, kuzimu hakuna nyota.
 
Kwamba jamaa bado anakisasi?
Tumuulize HP ilikuaje wakaalika adui sebuleni?

Sioni shida yeyote.

Ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen.
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Huyu TumainiEl ni moja ya wauaji waliokuwa wanatumiwa na Mwendazake. Sasa hivi kachanganyikiwa haamini kama Mwendazake aliyekuwa akimlipa kufanya ufedhuli hayupo. Kwa iyo amekalia ramli tu

Usimshangae sana ni msongo wa mawazo tu. Tumshauri tu kuwa Samia ndo Rais wake Hadi 2030 na alikubali hilo
 
Mnalalama Tu mnashindwa kukodi ma sniper waje Kufanya kazi ya kuangusha miamba mitatu na itajulikana kbs mnayoilalamikia..usituigopeshe kihivyo hakuna njaa bongo na bia tutaendelea kunywa na tutaendelea kuzaana mark my words labda ndo utajiri ndo kitu hatutopata
Hayaa ,faraja inavuta kheri,ila kheri ana kula nyasi zilizochomwa!
 
Hii hapa ...muislamu ni ngumu kuwa mzalendo kutokana na mafundisho ya dini yake hivyo waislamu ni maadui wa uzalendo

Kama sababu ni hiyo basi hata Christians hawawezi kuwa wazalendo kwa Taifa lao.

Kama vipi Rais awe mpagani basi au muabudu dini zetu za asili.

Ndani ya Hodeidah Yemen
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Nini tufanye sasa njoo na jibu
 
....
Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
maadui ni nyinyi musiokwisha kuombea mabaya nchi.
 
B
Haya ni matokeo ya VIONGOZI WAISLAMU hii code itavunjwa na kiongozi asiye muislamu siyo muislamu
Business as usual
Aje Mkirisito au mwisiharamu it’s Business as usual !!
Katiba mpya bora ni muhimu sana !
Strong independent Institutions kama za Marekani. !
Tulimuona Spika Nancy Pelosi akiichanachana karatasi yenye hotuba ya Trump Bungeni na Trump yupo pale amekodoa macho tu anaangalia hana la kufanya 🤣🤷🏿‍♂️ !

🤣🤣🤣 Tulimuona hapa Che Nkapa akiuza Viwanda vyote alivyo viacha Nyerere !
Tena viliuzwa kwa bei ya kutupa !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!
🤣🤣😂😂😅😅
Na Nyumba za Serikali nazo kwaheri 🤣🤣😂😂😅😅 !

Katiba mpya bora ni muhimu sana !
Mengine yooote ni blah 😑 blah tu !
 
Hakuna miujiza, maombi Tu peke Yake hayasaidii. Mambo hutokea Kwa kufanya.
 
Rwanda nao walianza hivi hivi kuingiza masilaha wakaishia kumwaga damu sana ,watakaovuruga amani ya nchi hii ni wanamtandao mafisadi na majizi,yakisingizia UDINI.
TUOMBE MUNGU tuombe kwa ajili ya Taifa hili.
ILI YASITOKEE YALE YA RWANDA NA CONGO.
 
Kwamba jamaa bado anakisasi?
Tumuulize HP ilikuaje wakaalika adui sebuleni?

Sioni shida yeyote.

Ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen.

Hivi hizi story Ni serious hivo?

Hawakuwaamini Vijana wa Tissue wakaamua kumtumia vijana wa Mr. slim vs JK 😂

Kumtetea Yule bwana ni kazi sana
 
Mzee wa white paper...haujafika muda wa kuisoma hyo barua ili wenye kucheka wacheke na wakulia walie....Vip Kachero kutoka kwenye chumba cha siri anasemaje sahv au kabadili mawazo?watu wa Arusha mnambwe mbwe.
 
Kaa kimya huna akili kuzidi TEC kula ubwabwa ulale unajua deni taifa sasa hivi limefika Trilion ngapi? Tunaenda kufika kikomo kutokukopesheka hivi unajua miaka mitano maisha yatakua magumu sana kodi kichwa inaweza kurudi
Novena ina nguvu na mimi ni Mkatoliki pia. Lakini Novena ya TEC ya Fr Charles Kitima ni ya kinafiki na haiwezi kusikilizwa na Mungu wetu aliyehai.

Huwezi kusoma Novena kwa sababu Lissu yuko rumande kwa tuhuma za ugaidi, ni Mungu gani atakusikia? TEC imekuwa na mrengo wa CHADEMA wakati sisi waumini tuna itikadi mbalimbali kama CHAUMA, CUF, UDP, CCM etc
 
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga hula na wa nyumbani kwao.

Wakuu we are fooled narudia tena as a nation we are fooled nasema we are fooled either kwa kujuwa ama kutokujuwa some thing big is coming na kama majasusi wetu mmechukua poa basi sote tutalia.

My fellows Tanzania tusali nasema tusali this timing is perfect for all of us every must prepare for any scenarios yes yapo mambo yanakuja uwenda Mungu atuamulie ila sio mwanadam.

Nchi ya amani na baba wa mataifa mengine tunataka kuwa kituko kwa kuangalia leo nakutoingalia kesho ya Taifa.

Wekeni vyakula vya akiba na kila mtu ajiandae. Baada ya uchaguz ndio tutajuwa mbivu na mbichi. Hakuna cha hatufungamani na mtu yeyote ila kumbuken kauli ya Biden baada ya Russia ivamia Ukraine.

Narudia tena i see some things big is coming. Adui anajambo lake na Tz na huu ndio muda wake. Majeshi yetu tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama stay tune stay alert
Hao vyombo vya ulinzi na usalama ndio wanao msaidia kwa udi na uvumba adui afanikishe kikamilifu lengo lake hao sio wa kuwaamini hao walisha usaliti uzalendo na walisha lisaliti taifa kifupi watanganyika kwa sasa hatuna cha kufanya tumesha tekwa
 
Back
Top Bottom