king kunta j
Senior Member
- Jul 21, 2021
- 124
- 85
Wanajukwaa sielewi najitaidi mara ya tatu kila nikilima unakataa mwenye utaalamu anisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadumaa mkuuUnakataa vipi kiongozi..unakataa kuota.unadumaa.au unakomaa haraka..fafanua wadau wakusaidie
Nimepokea ushauri wako chiefUmejaribu bangi mkuu inaeza ikakutoa sema uwe makini tu.
Asante....vipi kuhusu matumizi ya mbolea ya dukani?udongo sio piga tuta changanya huo udongo na mbolea ya ng'ombe piga maji
sasa kwa haya maelezo unategemea msaada gani? Hebu eleza kama mtu unayehitaji msaada.Wanajukwaa sielewi najitaidi mara ya tatu kila nikilima unakataa mwenye utaalamu anisaidie
Ni kwamba mara 3 nimelima mchicha mara ya kwanza ulidumaa na nilipojaribu mara ya nyingine ikakomaa mapemasasa kwa haya maelezo unategemea msaada gani? Hebu eleza kama mtu unayehitaji msaada.
Leta picha za mazingira husika(tuonyeshe namna ulivyogoma).Wanajukwaa sielewi najitaidi mara ya tatu kila nikilima unakataa mwenye utaalamu anisaidie
Nitafanikisha kesho asubuhi nitumeLeta picha za mazingira husika(tuonyeshe namna ulivyogoma).
kwa mchicha achana nayoAsante....vipi kuhusu matumizi ya mbolea ya dukani?
bado siwezi kukusaidia kwa maelezo haya. Lakini jaribu kununua mbegu kutoka kwenye duka lolote la kilimo. Tengeneza matutu yako vizuri kisha panda mbegu zako vizuri na funikia kwa nyasi kavu matuta yako. Baada ya hapo hakikisha una mwagilia maji kila siku ya Mungu asubuhi kabla ya jua kuchomoza na jioni pia. Endelea kumwagilizia hadi utakapoanza kuvuna. Unaweza kutumia mbolea ya dukani NPK UREA Kwa ajil ya kukuzia mchicha wako wiki moja baada ya mchicha wako kuota.Angalizo mchicha ukiota tu toa nyasi zote kwenye matuta ulizofunikia hapo mwanzo.Ni kwamba mara 3 nimelima mchicha mara ya kwanza ulidumaa na nilipojaribu mara ya nyingine ikakomaa mapema
Sijui kwanini umesema maelezo yangu hayatoshi ila mimi nimekuelewa na nitafanyia kazi na nilikuwa naogopa sana matumizi ya mbolea ya dukani..barikiwa sanabado siwezi kukusaidia kwa maelezo haya. Lakini jaribu kununua mbegu kutoka kwenye duka lolote la kilimo. Tengeneza matutu yako vizuri kisha panda mbegu zako vizuri na funikia kwa nyasi kavu matuta yako. Baada ya hapo hakikisha una mwagilia maji kila siku ya Mungu asubuhi kabla ya jua kuchomoza na jioni pia. Endelea kumwagilizia hadi utakapoanza kuvuna. Unaweza kutumia mbolea ya dukani NPK UREA Kwa ajil ya kukuzia mchicha wako wiki moja baada ya mchicha wako kuota.Angalizo mchicha ukiota tu toa nyasi zote kwenye matuta ulizofunikia hapo mwanzo.
Fanya ivyo mkuu.Leta picha za mazingira husika(tuonyeshe namna ulivyogoma).
Jitafakari vyema kama je unatumia akili zako vizuri?Wanajukwaa sielewi najitaidi mara ya tatu kila nikilima unakataa mwenye utaalamu anisaidie
Nalima mahindi si chini ya eka 20 kila msimu kwa mwaka wa 5...hiki ni kitu kipya kwangu alafu google sio kwamba kuna info za kutosha nimekuja jukwaani najua kuna wataalamu au watu wenye uzoefu...unazipimaje akili zangu kirahisi ivyo sababu ya kutokujua kitu fulaniJitafakari vyema kama je unatumia akili zako vizuri?
Mchicha unakushinda mahindi je?
Umeshjndwa hata kuingia Google jamani kweli?
Kumbuka mafanikio yanaanza na juhudi zako mwenyewe binafsi
Hapana?..mbwa anahusikaje tena???Unafuga mbwa?