Kweli ila mabwege wasiojua mziki watakubishia.
Tukiachana na ushabiki domo cku izi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nymbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo....????
#utanipendagaaaa??
Haya basi nendeni mkaisikilize nagharamia
Kuna watu walipata div one kidato cha nne na six ila kwa sasa wamemaliza chuo na wako mtaani wanatafuta kazi ila kuna waliokuwa wakipata division three na sasa ni mabosi makazini! Diamond anajua afanye nini kwa wakati gani? Yawezekana hajui mziki kama hao wasanii wenu mnaowapenda yes lakini anajua kucheza na soko la mziki na hiyo itamfanya aendelee kuwa juu miaka mia! Nyie team kiba mapovu yatazidi kuwatoka sana jamaa yenu anawaangusha na atazidi kuwaangusha milele
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
kweli yani....diamond wa kamwambie, mbagala...mawazo..lala salama...tamani....nitarejea....binadamu...ile rmx ya davido...alikua noma sana...a asaivi hamna kitu
Alikua bora kuliko wa Ntampata wapi, mdogo mdogo, nasema nawe, nana?
Acha kujitia upofu mkuu