Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
Diamond angejitahidi kukaa bila kutoa wimbo mpya ili watu wammiss hii style inasaidia sana msanii akirudi anaonekana mpya.
Sasa hii nyimbo mpya kiukweli ni ya kawaida sorry to say that
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
kusema kweli mpenzi wa Mungu video kali ila audio mbaya nlitegemea angetengeneza mahadhi ya Zouk ingekua tamu ka ukimwona..
Good idea, bad song
Always negativity...eti anabebwa na video za Godfather!!? Kama ni rahisi kiasi hicho itabidi tumpeleke Best Naso kwa Godfather naye akajaribu bahati yake. Hah hah vp Kerewa na Mwana zilishindikana kwa Godfather?
Anayepanga ni rabana ila ameficha ni confidential. ..
Karibu ujumuike na wapiga ramli wenzako lakini kwa kuwa ramli ni ushetani unaotokana kuwa na roho chafu, basi inakuwa ni jambo lisilowezekana kwa roho chafu kushinda pale penye heri! Hawa hapa chini ni baadhi tu ya wapiga ramli wenzako? ambao hawajaanza jana kupiga ramli, wala juzi lakini wote wamebaki na aibu zao! Jumuika:
Alianza huyu February 17, 2013 chini ya Title: Naam na hili ndilo anguko rasmi la msanii diamond
Akafuata huyu June 27, 2014:Akaja huyu October 19, 2014 Kisha huyu tena: January 27, 2015Akaja huyu siku ya February 15, 2015
NOTE: Mpiga Ramli wa kwanza hapo juu ni yule ambae akitumia TV ya asili siku ya February 17, 2013 na Mpiga Ramli wa Mwisho hapo ni February 15, 2015. Hapo utaona ni miaka 2 kamili watu wanapiga ramli tu... ikiwa bado miezi 2 kamili kutimia miaka 3 mnapiga ramli tu!!!