Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
Alipotoa Ntampata wapi watu waka diss sana ikazoa matuzo kimataifa
Akatoa Nasema nawe watu wakatukana sana oooh taarab
Ikazoa tuzo kimataifa
Akatoa Nana ikapigwa sana madongo lakini ikampa matuzo hadi pakuweka akakosa
Sasa Utanipenda nayo mtaipenda tu
Mkuu msichojua kuhusu Chibu ni kwamba sio muimbaji mzuri kivile lakini anaijua biashara ya muziki
Hataka kama sio mwimbaji mkali lakini anajua wapenzi wake wanataka nini na anawapatia kwa wakati
Take it from me baada ya mwezi viewers youtube watakua zaidi ya milioni moja
Ukipita mitaani baada ya mwezi hata mwanao atakua anuimba wimbo wote kuanzia mwanzo hadi mwisho wakati huo waimbaji wanaojua kuimba kama Ali kiba na Bela wimbo wao labda utakua na viewers laki 2 sababu hawajui kucheza na soko la muziki