Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
mi na nitampta wapi tu, hata bibi yenu anaupenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa best nasoo anaingiajee Hapo??
Best Naso ametumika kuwakilisha wasanii wanaohangaika kutoboa kimziki both local and international, na kwa kuwa ukifanya video kwa Godfather unatoboa kimziki kama anavyotoboa Diamond basi wasanii wengine kama akina Best Naso nao waende kwa Godfather tuone watoboe
Nyimbo mpya kwanza imepoa sana labda aitenfenezee remix ukiangalia Zari kwenye ile video yupo tu hata huelewi mchango wake bora angekua anaonekana ana majibizano fulani any ways ni mawazo tu
Weeh!usimdanganye unataka yamkute ya King Kiba manake ilibidi arudi kwa beef ili watu wamuonee huruma!Na ukichunguza wasanii wengi sana wanaokaa kimya huwa kurudi inakuwa kazi sana,Kiba ashukuru beef lakini pia bado anahangaika sana.Diamond angejitahidi kukaa bila kutoa wimbo mpya ili watu wammiss hii style inasaidia sana msanii akirudi anaonekana mpya.
Sasa hii nyimbo mpya kiukweli ni ya kawaida sorry to say that
Na kwa kipindi hiki,soko kubwa ni video.
Hakuna kitu kigumu kwny industry ya muzik km kutengeneza ngoma afu iwe kali redioni.
Video mara nying ndo zinakuw kali.
Kutengeneza melody nzuri ya wimbo ni kipaji cha juu kisichokuwa na shaka.
Sio kila mtu anaweza.
Jarib kuusikiliza huo wimbo mpya redioni.
Samahan nawajib watu wa muziki na sio mashabiki wa muziki.
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
Kila siku mnamtabiria anguko lakini ndo anazidi kusimama