Nalipiaje Poweramp Player Wakuu...?

Nalipiaje Poweramp Player Wakuu...?

Sijajua kiongozi nikitaka kujua kuwa imewezeshwa nafanyaje mkuu...?
Fika branch , omba uwezeshwe kufanya malipo online. Utasajiliwa.. baada ya masaa 24 utaweza kulipia kwa card online.

Kwa mastercard : utaingiza namba za card na cvv zile Ilizopo nyuma nq tarehe/mwaka wa card kuxpire. Ukilipia ita verify kwa kiweka code utakazopokea kama sms or email kutoka mastercard
 
Hii app mi natmia bure bila malipo,,kila ikifika muda wa trial kuisha naifuta then naipakua tena
 
Sijajua kiongozi nikitaka kujua kuwa imewezeshwa nafanyaje mkuu...?
Fungua Google account nyingine kwa majina yako,weka namba yako ya simu kama recovery namba incase umesahau password. Kisha download poweramp au lipia kwa kutumia hiyo mpesa MasterCard,watatuma email au msg ya confirmation kwenye namba yako/email mpya . Ushauri huu ni kwa sababu inashindikana kulipa kwenye Gmail account ya sasa .
 
Gmail nyingine ninayo labda kama naweza ku-switch itumike hiyo nyingine au mpaka nifungue mpya kiongozi...?
 
Fungua Google account nyingine kwa majina yako,weka namba yako ya simu kama recovery namba incase umesahau password. Kisha download poweramp au lipia kwa kutumia hiyo mpesa MasterCard,watatuma email au msg ya confirmation kwenye namba yako/email mpya . Ushauri huu ni kwa sababu inashindikana kulipa kwenye Gmail account ya sasa .
Nimefungua account nyingine ya Gmail ila kwenye process za ku-create mbona hawajaleta hiyo sehemu ya kuweka recovery phone number na tayari account ipo active mkuu.
 
Fungua Google account nyingine kwa majina yako,weka namba yako ya simu kama recovery namba incase umesahau password. Kisha download poweramp au lipia kwa kutumia hiyo mpesa MasterCard,watatuma email au msg ya confirmation kwenye namba yako/email mpya . Ushauri huu ni kwa sababu inashindikana kulipa kwenye Gmail account ya sasa .
Screenshot_20240331-180047.jpg

Nimefanya ulivyonielekeza kiongozi na account ya Gmail niliyofungua hiyo hapo juu na recovery phone number nimeweka ya voda ila nimetaka kulipia haileti option ya kulipa kwa voda inaleta ya Airtel money tu mkuu. Nafanyaje hapo mkuu msaada...?
 
View attachment 2950156

Pole sana , poweramp ni best music player kwa simu. Bila hiyo app sisikilizi mziki,nenda bank kafanye online payment activation ya card yako. Pia kama una Airtel no basi tengeneza MasterCard kisha lipia.
 
Kutengeneza Mastercard ya Airtel inabidi ni-download app ya Airtel si ndio...?

Kwa sababu nilivyoona inaniletea option ya kulipia kwa Airtel nikaweka hela kwenye Airtel money lakini bado ikagoma nikaweka hela kwenye mpesa bado ikagoma pia.
 
Nenda Airtel money menu ya kawaida tu,utapata option ya kutengeneza MasterCard.
 
Back
Top Bottom