Nalipongeza Bunge La Kenya

Nalipongeza Bunge La Kenya

Hashim bin Faustin

Senior Member
Joined
Jan 30, 2017
Posts
177
Reaction score
216
Bunge la Kenya limekutana ili kujadili hali ya kupanda kwa gharama za maisha baada bidhaa muhimu kwa jamii kama Unga na Sukari kuwa ghali hivyo jamii ya kipato cha chini kuwa katika wakati mgumu kimaisha.
HONGERA WABUNGE WA KENYA ....!!

Huku kwetu TZ tuko taaabani lakini hatuna wa kututetea wao kazi kutafuta kick kila kukichwa. Kusifia serikali kwa saaana, kumuandama bashitee kwa Sanaa, kubaguwana kwa sanaa. Wakati Unga na Sukari bei Juuuu , wao kimyaaaaa. !!
a65f63c56923b3b642054a52519b8df8.jpg
2fcbab90ab7c7dc0344e1445df8aa176.jpg
 
Ni hongera kwao hapa kwetu Bunge linaedelea kama kawaida wala hawataji wala kujadili vipi kupoza hali ngumu ya maisha inayowakabiri wengi, Kenya unga kilo ni kama sh 81ksh...hapa kwetu ni kama sh 90ksh au 2,000tsh...wabunge kimyaaa...lol kazi ipo
 
hongereni sana wakenya uku kwetu ni majanga no one cares
 
Hongereni wakenya huku kwetu Tanzania wabunge wa ccm wamekomalia chadema isitoe wabunge wa afrika mashariki, wako tayari nchi ipeleke wabunge pungufu mradi wawe wa ccm tu
 
dah! nilidhani bunge ya tanzania ina wajibika kuliko ya huku kwetu..nilidhani pia hawa wa kwetu wapumbavu walafi wanaokwenda bungeni ama serikalini tu kuiba mali ya umma na kunenepa.dah! kumbe usilolijua ni kama usiku wa kiza...
 
Dangaya toto za uchaguzi wa kenya. Mwaka jana walikuwa na uhaba wa sukari lakini hakuna mbunge aliyeliongelea. Mwaka huu, wanasiasa wanatafuta cha kuwatuliza wapiga kura. Usanii mtupu.
 
Dangaya toto za uchaguzi wa kenya. Mwaka jana walikuwa na uhaba wa sukari lakini hakuna mbunge aliyeliongelea. Mwaka huu, wanasiasa wanatafuta cha kuwatuliza wapiga kura. Usanii mtupu.
kweli....wabunge hasaa wa Afrika nia yao mbaya...most of the time they are looking out for their own individual interests...hard to tll whether this thing is authentic...they could be faking it
 
Dangaya toto za uchaguzi wa kenya. Mwaka jana walikuwa na uhaba wa sukari lakini hakuna mbunge aliyeliongelea. Mwaka huu, wanasiasa wanatafuta cha kuwatuliza wapiga kura. Usanii mtupu.
Ni usanii wala sio uongo, ni usanii huu umekuja wakati mwafaka maana imeshakua janga kwao japo na hapa kwetu unga na bidhaa zingine bei imepaa kimtindo miezi ya hivi karibuni, naamini mvua zikiisha unga utashuka bei maana maeneo mengi wataweza kukausha mahindi na pia usafiri kuyapeleka sokoni itakua ni rahisi kuliko kwa sasa...wabunge wengi kama sio wote Afrika ni watu wa dili kuingia au kuchaguliwa bungeni ni karata ya kutafuta utajiri kwao, yule mkulima wa jembe n.k anasahaulika mpaka tena kipindi cha uchaguzi...
 
Dangaya toto za uchaguzi wa kenya. Mwaka jana walikuwa na uhaba wa sukari lakini hakuna mbunge aliyeliongelea. Mwaka huu, wanasiasa wanatafuta cha kuwatuliza wapiga kura. Usanii mtupu.
Ni wabunge kutoka upande wa uponzani na serikali wote wanakutana kujadili suala hili. This matter is serious, sio suala na uchaguzi.
Sukari na unga haijawahi scarce ilivyo kwa sasa. At the wholesale shops in places, unga haukubaliwi kunua zaidi ya kilo 25!. In other words, the goods are beong rationed.

Kenya kumewahi kukua na upungufu wa bidhaa muhimu kama sukari na unga, lakini this is the worst for quite time. Hiyo sukari unasema ilikuwa adimu last year is not quite true. Saa hizi kilo moja ya sukari ati ni mia mbili. Last year even with the shortage, it never got expensive to that extent. Thus the emergency meeting in parliament.
 
dah! nilidhani bunge ya tanzania ina wajibika kuliko ya huku kwetu..nilidhani pia hawa wa kwetu wapumbavu walafi wanaokwenda bungeni ama serikalini tu kuiba mali ya umma na kunenepa.dah! kumbe usilolijua ni kama usiku wa kiza...
Huko Kenya wanawadanganyia wapiga kura si unajua uchaguzi ndo mda wake huu
 
It's bad, I have never witnessed this level of shortage since 2007/8- there was political instability then. In our supermarket, there is no maize flour! The shelves on that section are empty.

Sugar....just the biggest most pipo are not willing to take. Why this is so is not clear, it is so worrying.
 
Tz siasa ni mbaya sana kilimo cha mpunga huhitaji maji mengi sana tofauti na mahindi, kinachoshangaza hapa mchele unaotokana na mpunga ambao huhitaji maji mengi eti bei haijapanda ila unga unaotokana na mahindi bei imepanda siasa maji taka
 
kweli....wabunge hasaa wa Afrika nia yao mbaya...most of the time they are looking out for their own individual interests...hard to tll whether this thing is authentic...they could be faking it
The politician in Kenya have been cornered na bei kubwa ya chakula, this is not the time ya wao kulipuuzia hili swala. How could they face the electret with no answers to their primary question of food price? With this usanii wakienda huko wanawaambia "we're on your side, we we know your suffering, we've talked about this and it will be solved soon".

The high food price is a problem not only Kenya but every were in the world, lakini sio tatizo linaloweza kutatulia na vikao vya bunge. It's involved mambo mengi, weather is key issue, follow by high demand of food because watu wanaweka chakula kwa kuogopa njaa. Don't forget greedy business people are wants to capitalised on the scarcity. So wanasiasa kama isingekuwa uchaguzi wangepotezea issue ya chakula. Tanzania is no different, majority of politician will not touch on the issue at this time, lakini ngoja ikifika 2019-20 utaona wanavyo piga makelele bungeni.
 
Ni usanii wala sio uongo, ni usanii huu umekuja wakati mwafaka maana imeshakua janga kwao japo na hapa kwetu unga na bidhaa zingine bei imepaa kimtindo miezi ya hivi karibuni, naamini mvua zikiisha unga utashuka bei maana maeneo mengi wataweza kukausha mahindi na pia usafiri kuyapeleka sokoni itakua ni rahisi kuliko kwa sasa...wabunge wengi kama sio wote Afrika ni watu wa dili kuingia au kuchaguliwa bungeni ni karata ya kutafuta utajiri kwao, yule mkulima wa jembe n.k anasahaulika mpaka tena kipindi cha uchaguzi...
Hatuna njaa, chakula kipo lakini kama unavyo sama kukifikisha sokoni na hali hii ni chamgamoto.
 
Nafikiri hapa nawapa hongera wabunge wetu hata kama mara nyingi huwa wananikera. Kawaida wale wa upinzani wangetumia fursa hii kuhubiri dhidi ya serikali, lakini wengi wametafakari hili suala na kuungana katika kutafuta suluhu, upinzani pamoja na wale wa chama kinachotawala.
 
Ni wabunge kutoka upande wa uponzani na serikali wote wanakutana kujadili suala hili. This matter is serious, sio suala na uchaguzi.
Sukari na unga haijawahi scarce ilivyo kwa sasa. At the wholesale shops in places, unga haukubaliwi kunua zaidi ya kilo 25!. In other words, the goods are beong rationed.

Kenya kumewahi kukua na upungufu wa bidhaa muhimu kama sukari na unga, lakini this is the worst for quite time. Hiyo sukari unasema ilikuwa adimu last year is not quite true. Saa hizi kilo moja ya sukari ati ni mia mbili. Last year even with the shortage, it never got expensive to that extent. Thus the emergency meeting in parliament.
No one denying the problem is not real, but the issue is politician using the issued for there own benefit. Inajulikana mvua ilikuwa ndogo Kenya, watu wamenunia chakula wamekiweka, wafanyabiashara na wao wanajiongezea bei kujitajirisha, na wafanyabiashara wakubwa wa chakula ni nani kama sio hao hao wanasiasa. Nakumbuka 2013 serikali ya Kenya walitaka kuweka vat kwenge unga maziwa na mkate. You know what followed, watu walitaka kuingia mtaani, but not before taking a cue from another group of politicians who want to capitalised on the issue. Siasa ni usanii kila mahali.
 
No one denies the problem is not real, but the issue is politician using the issued for there own benefit. Inajulikana mvua ilikuwa ndogo Kenya, watu wamenunia chakula wamekiweka, wafanyabiashara na wao wanajiongezea bei kujitajirisha, na wafanyabiashara wakubwa wa chakula ni nani kama sio hao hao wanasiasa. Nakumbuka 2013 serikali ya Kenya walitaka kuweka vat kwenge unga maziwa na mkate. You know what follow, watu walitaka kuingia mtaani, but only just taking the cue from another group of politician who want to capitalised on the issue. Siasa ni usanii kila mahali.

Wabunge wa upinzani wangetumia hii fursa kuhubiri dhidi ya serikali lakini wamekua wazalendo na kutenda kweli.
 
Back
Top Bottom