Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
Ni hongera kwao hapa kwetu Bunge linaedelea kama kawaida wala hawataji wala kujadili vipi kupoza hali ngumu ya maisha inayowakabiri wengi, Kenya unga kilo ni kama sh 81ksh...hapa kwetu ni kama sh 90ksh au 2,000tsh...wabunge kimyaaa...lol kazi ipoBunge la Kenya limekutana ili kujadili hali ya kupanda kwa gharama za maisha baada bidhaa muhimu kwa jamii kama Unga na Sukari kuwa ghali hivyo jamii ya kipato cha chini kuwa katika wakati mgumu kimaisha.
HONGERA WABUNGE WA KENYA ....!!
Huku kwetu TZ tuko taaabani lakini hatuna wa kututetea wao kazi kutafuta kick kila kukichwa. Kusifia serikali kwa saaana, kumuandama bashitee kwa Sanaa, kubaguwana kwa sanaa. Wakati Unga na Sukari bei Juuuu , wao kimyaaaaa. !!
kweli....wabunge hasaa wa Afrika nia yao mbaya...most of the time they are looking out for their own individual interests...hard to tll whether this thing is authentic...they could be faking itDangaya toto za uchaguzi wa kenya. Mwaka jana walikuwa na uhaba wa sukari lakini hakuna mbunge aliyeliongelea. Mwaka huu, wanasiasa wanatafuta cha kuwatuliza wapiga kura. Usanii mtupu.
Ni usanii wala sio uongo, ni usanii huu umekuja wakati mwafaka maana imeshakua janga kwao japo na hapa kwetu unga na bidhaa zingine bei imepaa kimtindo miezi ya hivi karibuni, naamini mvua zikiisha unga utashuka bei maana maeneo mengi wataweza kukausha mahindi na pia usafiri kuyapeleka sokoni itakua ni rahisi kuliko kwa sasa...wabunge wengi kama sio wote Afrika ni watu wa dili kuingia au kuchaguliwa bungeni ni karata ya kutafuta utajiri kwao, yule mkulima wa jembe n.k anasahaulika mpaka tena kipindi cha uchaguzi...Dangaya toto za uchaguzi wa kenya. Mwaka jana walikuwa na uhaba wa sukari lakini hakuna mbunge aliyeliongelea. Mwaka huu, wanasiasa wanatafuta cha kuwatuliza wapiga kura. Usanii mtupu.
Ni wabunge kutoka upande wa uponzani na serikali wote wanakutana kujadili suala hili. This matter is serious, sio suala na uchaguzi.Dangaya toto za uchaguzi wa kenya. Mwaka jana walikuwa na uhaba wa sukari lakini hakuna mbunge aliyeliongelea. Mwaka huu, wanasiasa wanatafuta cha kuwatuliza wapiga kura. Usanii mtupu.
Huko Kenya wanawadanganyia wapiga kura si unajua uchaguzi ndo mda wake huudah! nilidhani bunge ya tanzania ina wajibika kuliko ya huku kwetu..nilidhani pia hawa wa kwetu wapumbavu walafi wanaokwenda bungeni ama serikalini tu kuiba mali ya umma na kunenepa.dah! kumbe usilolijua ni kama usiku wa kiza...
The politician in Kenya have been cornered na bei kubwa ya chakula, this is not the time ya wao kulipuuzia hili swala. How could they face the electret with no answers to their primary question of food price? With this usanii wakienda huko wanawaambia "we're on your side, we we know your suffering, we've talked about this and it will be solved soon".kweli....wabunge hasaa wa Afrika nia yao mbaya...most of the time they are looking out for their own individual interests...hard to tll whether this thing is authentic...they could be faking it
Hatuna njaa, chakula kipo lakini kama unavyo sama kukifikisha sokoni na hali hii ni chamgamoto.Ni usanii wala sio uongo, ni usanii huu umekuja wakati mwafaka maana imeshakua janga kwao japo na hapa kwetu unga na bidhaa zingine bei imepaa kimtindo miezi ya hivi karibuni, naamini mvua zikiisha unga utashuka bei maana maeneo mengi wataweza kukausha mahindi na pia usafiri kuyapeleka sokoni itakua ni rahisi kuliko kwa sasa...wabunge wengi kama sio wote Afrika ni watu wa dili kuingia au kuchaguliwa bungeni ni karata ya kutafuta utajiri kwao, yule mkulima wa jembe n.k anasahaulika mpaka tena kipindi cha uchaguzi...
No one denying the problem is not real, but the issue is politician using the issued for there own benefit. Inajulikana mvua ilikuwa ndogo Kenya, watu wamenunia chakula wamekiweka, wafanyabiashara na wao wanajiongezea bei kujitajirisha, na wafanyabiashara wakubwa wa chakula ni nani kama sio hao hao wanasiasa. Nakumbuka 2013 serikali ya Kenya walitaka kuweka vat kwenge unga maziwa na mkate. You know what followed, watu walitaka kuingia mtaani, but not before taking a cue from another group of politicians who want to capitalised on the issue. Siasa ni usanii kila mahali.Ni wabunge kutoka upande wa uponzani na serikali wote wanakutana kujadili suala hili. This matter is serious, sio suala na uchaguzi.
Sukari na unga haijawahi scarce ilivyo kwa sasa. At the wholesale shops in places, unga haukubaliwi kunua zaidi ya kilo 25!. In other words, the goods are beong rationed.
Kenya kumewahi kukua na upungufu wa bidhaa muhimu kama sukari na unga, lakini this is the worst for quite time. Hiyo sukari unasema ilikuwa adimu last year is not quite true. Saa hizi kilo moja ya sukari ati ni mia mbili. Last year even with the shortage, it never got expensive to that extent. Thus the emergency meeting in parliament.
No one denies the problem is not real, but the issue is politician using the issued for there own benefit. Inajulikana mvua ilikuwa ndogo Kenya, watu wamenunia chakula wamekiweka, wafanyabiashara na wao wanajiongezea bei kujitajirisha, na wafanyabiashara wakubwa wa chakula ni nani kama sio hao hao wanasiasa. Nakumbuka 2013 serikali ya Kenya walitaka kuweka vat kwenge unga maziwa na mkate. You know what follow, watu walitaka kuingia mtaani, but only just taking the cue from another group of politician who want to capitalised on the issue. Siasa ni usanii kila mahali.