Nalipongeza Sana Jeshi La Polisi Nchini Kwa kuendelea Kumshikilia na Kumhoji Mdude Nyagali

Anakufa ndugulile anaachwa huyu mtoa mada...
Si Bora ufe Tu unafanya nini hapa duniani? Pumbavu zakooo
Wewe endelea kutukana matusi uwezavyo.mimi kazi yangu ni kuwapeni ukweli bila kupepesa macho au kuona haya.ni lazima ukweli usemwe tu kuwa vijana tuache kufanya vitu kwa mihemuko na kutafuta sifa za kijinga.
 
Naomba nikujibu kwa ufupi kuwa suala la uchaguzi wa serikali za mitaa upinzani mlikuwa hamjajindaa kabisa kisera na hata ki ajenda.mlikuwa hamna cha kuwaeleza watanzania wakaewaelewa .Ndio maana watu kama Lissu kwa kukosa ufahamu na uelewa wa kura hawakupiga kura.sasa wewe ulitaka mshinde vipi uchaguzi wakati viongozi wenu wenyewe hawajatoa hamasa kwa wanachama wao kujiandikisha kupiga kura na wao ndio wakwanza kukimbia zoezi la kujiandikisha.

Pili suala la kusema Rais wetu Mpendwa anapambwa na kusifiwa sana .ningependa kukujibu kuwa kazi alizozifanya Rais Samia katika Taifa hili ni kubwa sana ambazo kila mwenye akili Timamu na anayejitambua ni lazima ampongeze.ndio maana Dunia kwa kuliona hilo ilimpatia hadi heshima ya kuhudhuria mkutano wa G20 ambapo mara ya mwisho kupata heshima ya kuhudhuria mikutano mikubwa ya aina hiyo ilikuwa 2008 wakati wa Dkt Jakaya Kikwete
 
Hakuna tusi hapo nimeelezea wasifu wako tu. Ibilisi mkubwa wewe.
Kama unahasira sana basi kunywa maji ya baridi utulize moyo kabla hujapasuka. Maana naendelea kukupeni ukweli Ninyi mnaopenda kutukana matusi kama wagonjwa wa akili.
 
Kama unahasira sana basi kunywa maji ya baridi utulize moyo kabla hujapasuka. Maana naendelea kukupeni ukweli Ninyi mnaopenda kutukana matusi kama wagonjwa wa akili.
Siwezi kukasirikia bumunda kama wewe uliyelaaniwa. Nakuchora tu unavyohangaika kutafuta uteuzi.
 
Wakati utakuja na wewe tutaliopongeza jeshi la Polisi kwa kukutesa.
Kitambo kidogo sana!
 
Kassim hanga alikuwa rafiki wa karibu na Mwalim. Siku ya siku Tanzania aliikimbia na aliwaomba akina mtikila wampazie Sauti. Na wewe siku ya siku utawaomba msaada akina mdudue wakuseme. Dunia ni tamara bovu kuna siku utapenya
 
Kassim hanga alikuwa rafiki wa karibu na Mwalim. Siku ya siku Tanzania aliikimbia na aliwaomba akina mtikila wampazie Sauti. Na wewe siku ya siku utawaomba msaada akina mdudue wakuseme. Dunia ni tamara bovu kuna siku utapenya
Nisemewe na Mdude? Anismee nini? Tangia lini amejua kujenga hoja zaidi ya Mimatusi ?
 

Mungu na akukemee kwa kishabikia hayo.
 
Hekima hasa kwa kiongozi yeyote ni kujua kuwa penye wengi hapakosi kuwa na mengi.
 
ni muhimu sana kama Taifa, kwa kutumia vyombo vya ulinzi na usalama, kuwadhibiti vilivyo watu wasio na nidhamu wala adabu kama huyo muungwana, ambo kwa kiwango kikubwa ndio wanajihusisha na magenge ya wahalifu, wachochezi na wavunja sheria za nchi.

hatua kali zaidi za kisheria dhidi ya watu kama hawa ni muhimu zaidi, ili iwe fundisho kwa wengine 🐒
 
Huko Mbeya kuna mwenzako wa chama kimoja amepoteza maisha, mnafurahia mabaya yawakute wa upande wa pili...yakija kwenu naamini mtalaani sana, ila "sime' ni upanga unaokata kotekote.

Msiwe watu wa kufurahia siasa chafu...enjoy machawa!!
 
Inatakiwa afundishwe adabu na kuacha kufanya vitu kwa mihemuko na ukurupukaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…