Nalipongeza Sana Jeshi La Polisi Nchini Kwa kuendelea Kumshikilia na Kumhoji Mdude Nyagali

Huko Mbeya kuna mwenzako wa chama kimoja amepoteza maisha, mnafurahia mabaya yawakute wa upande wa pili...yakija kwenu naamini mtalaani sana, ila "sime' ni upanga unaokata kotekote.

Msiwe watu wa kufurahia siasa chafu...enjoy machawa!!
Unaunga mkono siasa za matusi za Mdude? Ni vipi matusi yanaongeza uzito wa hoja ya mtu?
 
Vipi kuwauwa wa upande mwingine, mnafurahia sana wakiuwawa sio?
Hatutaki Damu ya mtanzania yeyote yule asiye na hatia imwagike katika ardhi ya Tanzania.Ndio maana vyombo vyetu vya ulinzi hususani jeshi la polisi limekuwa likipambana kuwatia nguvuni na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wahusika wote.
 
Hujitambui mkuu, samahani kwa kukuvunjia heshima(kama ipo(!))
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako.

Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la Polisi limechukua za kuendelea Kumshikilia Mdude Nyagali kwa ajili ya kumhoji tuhuma mbalimbali juu ya kauli na Maneno machafu ambayo amekuwa akiyatoa kupitia mitandao ya kijamii hususani Twitter maarufu kama X. Huyu jamaa amemtukana Sana Rais wetu, amemdhalilisha sana Rais wetu,amemshambulia kwa kila lugha chafu ya kuudhi,kukasirisha na kujenga chuki ,ghadhabu na hasira kali sana kwa watu.

Watu wengi sana nikiwepo hata mimi Mwenyewe nililalamika sana hata humu jukwaani na kuliomba jeshi la polisi limkamate huyu mtu ili atoe maelezo kwa kauli zake ambazo zingine zilikuwa za kihaini kabisa. Ilifika wakati nikawa najiuliza inakuwaje huyu kijana atoe lugha chafu za kumdhalilisha Rais wetu na viongozi wengine mbalimbali wa serikali bila staha wala aibu na hakamatwi?

Nilijiuliza hivi huyu kijana wazazi wake wapo hai? Amewahi kulelewa na kupata malezi ya wazazi wake hasa mama yake? Amewahi kwenda kanisani? Ana ndugu walio hai? Ni mzima kichwani au ana tatizo la kiakili? Anatumia madawa yanayomuathiri akili? Ana watu wa karibu wanao Mshauri ?Ana hofu ya Mungu kifuani pake?

Nilijiuliza zaidi kuwa je hawezi kukosoa serikali au mtu au taasisi au chama pasipo kutukana watu Matusi? Huwezi mtu ukakosoa kwa lugha ya staha na hoja na ukaeleweka? Mbona watu kama akina Dkt Martin Luther king Jr, Nelson Mandela walikuwa wakosoaji wakubwa wa serikali zao na mifumo ya serikali pasipo kutumia lugha ya matusi wala lugha chafu? Mbona wanakumbukwa hadi leo Duniani Kwote? Je hoja zao hazikusikilizwa?

Watanzania nikiwepo mimi Mwashambwa Lucas sipingi hata kidogo ukosoaji,sikatai serikali kukosolewa wala sikatai watu kupinga jambo fulani la serikali na kupendekeza mbadala fulani wa sera au kupinga sera za serikali.sikatai watu kukosoa hatua fulani fulani zinazoweza kuwa zimechukuliwa na serikali wala sipingi au kukataa kuwa serikali na viongozi wake wasikosolewe au kupingwa.Maana najua demokrasia inatoa uhuru wa watu kutoa maoni yao na mawazo yao.najua wakati mwingine ni kweli kuna jambo linaweza likawa linahitaji mjadala kabla ya kupitishwa kwake au kutiwa saini.

Nachopinga mimi ni Matusi tena matusi ambayo mtu unamtukana mtu bila sababu .hakuna demokrasia ya kutukana na kumtusi mtu,hakuna uhuru wa kumtolea na kumporomoshea matusi mtu na kumtweza utu wake.uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa mwingine unapoanzia.kila kitu kina mipaka yake.

Mara nyingi sana Mdude amemtukana Rais wetu,kumzushia uongo mkubwa usio na ushahidi wala hata kuweka ushahidi, kumchafua,kumdhalilisha kwa maneno machafu na hata kuichafua familia yake hasa wanae pamoja na kutunga uongo uongo usio na mashiko wala ushahidi .hajaishia tu kwa Mheshimiwa Rais bali ametukana pia viongozi wengine wengi sana kuanzia wa serikali na hata wa vyombo vya ulinzi na usalama hususani jeshi la polisi.

Ilifika wakati watu tukawa tunajiuliza kwanini mtu huyu hachukuliwi hatua? Kwanini hakamatwi kuhojiwa? Kwanini anaachwa aendelee kutukana na kudhalilisha watu bila kukamatwa? Vijana ni lazima tujifunze kuacha kuwa na mihemko ya kijinga jinga na kufuata Mkumbo .tutumie akili badala ya hisia.tufikirie kabla ya kufungua vinywa vyetu na kuzungumza badala ya kufikiri baada ya kuzungumza.

Jeshi la Polisi msisikilize Makelele ya wanaharakati uchwara na wenye akili aina ya huyo Mdude.Endeeeni kumfanyia mahojiano ya kina ili ajibu yoooote ambayo amekuwa akiandika kwenye mitandao yake ya kijamii.athibitishe kwa ushahidi maneno yake,.aeleze sababu ya kutukana matusi watu bila sababu.tuhuma zote anazotoaga azitolee maelezo vizuri. Msifanye kazi kwa kushinikizwa na mtu nje ya utaratibu wenu . endeleeni kumhoji kwa kina.

Hatuwezi kuwa na Taifa la vijana ambalo vichwa vimejaa matusi utafikiri vichaa au wendawazimu.unaanzia wapi kijana mdogo kama Mdude kutoa maneno kama anayotoaga kwa kiongozi Mkuu.Hiyo haiwezekani na haivumiliki.hatuwezi kufanya huo ukawa utamaduni na kuacha uendelee kukomaa na ikawa kama kawaida.Ni lazima tuheshimiane na kuheshimu mipaka ya kila mtu na utu wa kila mtu .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Matusi ya mdude yanauma kuliko ufisadi wa wazi wa viongozi? Matusi yanauma kuliko utekaji tanzania?
 
Ufisadi upi huo unaouzungumzia? Kwa hiyo unataka Mdude Nyagali aendelee kutukana watu matusi na kuwadhalilisha?
 
Kesi yake mahakamani imetupwa na yeye bado anashikiliwa?
Tatizo pale most likely ilikuwa Polisi walimpomfuata kumu arrest aliwaita,"Choko".
Lakini hakuna sababu ya kuendelea kumshikilia.
He has suffered enough already.
 
You have been defeated. If this is the approach, expect more losses now and in the future.

The history is full of examples of people or systems which use this method and their outcome
 
Mengiii na jua hata utekaji wewe huwa unapongeza,sijuibinadamu wa dunia gani wewe?
 
Wamuwekee na ka pollonium ili akitoka akakae hospitali maisha yake yote, kama akifungua mdomo owe no kuomba uji tu
 
Wakati nondo na mdude wanatekwa na kushikiliwa plus member wengine wa chadema !

Viongozi ndani ya chama huko kilolo na Mbeya wanauawa!!

Je watekaji Wana balance equation!!?

Kwanini huku wanapotezwa bila kujua walipo au kutekwa wakati was kwetu wanauawa!!?

TUMIA UBONGO WAKO VIZURI LUCAS!

KUNA PICHA LINAENDELEA!!!
 
Kesi yake mahakamani imetupwa na yeye bado anashikiliwa?
Tatizo pale most likely ilikuwa Polisi walimpomfuata kumu arrest aliwaita,"Choko".
Lakini hakuna sababu ya kuendelea kumshikilia.
He has suffered enough already.
Acha aendelee kuhojiwa kwa kina
 
Wamuwekee na ka pollonium ili akitoka akakae hospitali maisha yake yote, kama akifungua mdomo owe no kuomba uji tu
Hicho ndio mnaweza kuhamasisha na kufurahia mioyoni mwenu
 
Back
Top Bottom