Nalipongeza Sana Jeshi La Polisi Nchini Kwa kuendelea Kumshikilia na Kumhoji Mdude Nyagali

Ndugu zangu Watanzania,

Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako.

Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la Polisi limechukua za kuendelea Kumshikilia Mdude Nyagali kwa ajili ya kumhoji tuhuma mbalimbali juu ya kauli na Maneno machafu ambayo amekuwa akiyatoa kupitia mitandao ya kijamii hususani Twitter maarufu kama X. Huyu jamaa amemtukana Sana Rais wetu, amemdhalilisha sana Rais wetu,amemshambulia kwa kila lugha chafu ya kuudhi,kukasirisha na kujenga chuki ,ghadhabu na hasira kali sana kwa watu.

Watu wengi sana nikiwepo hata mimi Mwenyewe nililalamika sana hata humu jukwaani na kuliomba jeshi la polisi limkamate huyu mtu ili atoe maelezo kwa kauli zake ambazo zingine zilikuwa za kihaini kabisa. Ilifika wakati nikawa najiuliza inakuwaje huyu kijana atoe lugha chafu za kumdhalilisha Rais wetu na viongozi wengine mbalimbali wa serikali bila staha wala aibu na hakamatwi?

Nilijiuliza hivi huyu kijana wazazi wake wapo hai? Amewahi kulelewa na kupata malezi ya wazazi wake hasa mama yake? Amewahi kwenda kanisani? Ana ndugu walio hai? Ni mzima kichwani au ana tatizo la kiakili? Anatumia madawa yanayomuathiri akili? Ana watu wa karibu wanao Mshauri ?Ana hofu ya Mungu kifuani pake?

Nilijiuliza zaidi kuwa je hawezi kukosoa serikali au mtu au taasisi au chama pasipo kutukana watu Matusi? Huwezi mtu ukakosoa kwa lugha ya staha na hoja na ukaeleweka? Mbona watu kama akina Dkt Martin Luther king Jr, Nelson Mandela walikuwa wakosoaji wakubwa wa serikali zao na mifumo ya serikali pasipo kutumia lugha ya matusi wala lugha chafu? Mbona wanakumbukwa hadi leo Duniani Kwote? Je hoja zao hazikusikilizwa?

Watanzania nikiwepo mimi Mwashambwa Lucas sipingi hata kidogo ukosoaji,sikatai serikali kukosolewa wala sikatai watu kupinga jambo fulani la serikali na kupendekeza mbadala fulani wa sera au kupinga sera za serikali.sikatai watu kukosoa hatua fulani fulani zinazoweza kuwa zimechukuliwa na serikali wala sipingi au kukataa kuwa serikali na viongozi wake wasikosolewe au kupingwa.Maana najua demokrasia inatoa uhuru wa watu kutoa maoni yao na mawazo yao.najua wakati mwingine ni kweli kuna jambo linaweza likawa linahitaji mjadala kabla ya kupitishwa kwake au kutiwa saini.

Nachopinga mimi ni Matusi tena matusi ambayo mtu unamtukana mtu bila sababu .hakuna demokrasia ya kutukana na kumtusi mtu,hakuna uhuru wa kumtolea na kumporomoshea matusi mtu na kumtweza utu wake.uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa mwingine unapoanzia.kila kitu kina mipaka yake.

Mara nyingi sana Mdude amemtukana Rais wetu,kumzushia uongo mkubwa usio na ushahidi wala hata kuweka ushahidi, kumchafua,kumdhalilisha kwa maneno machafu na hata kuichafua familia yake hasa wanae pamoja na kutunga uongo uongo usio na mashiko wala ushahidi .hajaishia tu kwa Mheshimiwa Rais bali ametukana pia viongozi wengine wengi sana kuanzia wa serikali na hata wa vyombo vya ulinzi na usalama hususani jeshi la polisi.

Ilifika wakati watu tukawa tunajiuliza kwanini mtu huyu hachukuliwi hatua? Kwanini hakamatwi kuhojiwa? Kwanini anaachwa aendelee kutukana na kudhalilisha watu bila kukamatwa? Vijana ni lazima tujifunze kuacha kuwa na mihemko ya kijinga jinga na kufuata Mkumbo .tutumie akili badala ya hisia.tufikirie kabla ya kufungua vinywa vyetu na kuzungumza badala ya kufikiri baada ya kuzungumza.

Jeshi la Polisi msisikilize Makelele ya wanaharakati uchwara na wenye akili aina ya huyo Mdude.Endeeeni kumfanyia mahojiano ya kina ili ajibu yoooote ambayo amekuwa akiandika kwenye mitandao yake ya kijamii.athibitishe kwa ushahidi maneno yake,.aeleze sababu ya kutukana matusi watu bila sababu.tuhuma zote anazotoaga azitolee maelezo vizuri. Msifanye kazi kwa kushinikizwa na mtu nje ya utaratibu wenu . endeleeni kumhoji kwa kina.

Hatuwezi kuwa na Taifa la vijana ambalo vichwa vimejaa matusi utafikiri vichaa au wendawazimu.unaanzia wapi kijana mdogo kama Mdude kutoa maneno kama anayotoaga kwa kiongozi Mkuu.Hiyo haiwezekani na haivumiliki.hatuwezi kufanya huo ukawa utamaduni na kuacha uendelee kukomaa na ikawa kama kawaida.Ni lazima tuheshimiane na kuheshimu mipaka ya kila mtu na utu wa kila mtu .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hujui Dunia ,pumbavu
 
Mdude ni mwanaharamu- hajawahi kulelewa na wazazi wake hivyo hivyo pia kwa Soka
 
Wachawi lazima watukanwe naona umetaharuki kusikia wachawi wenzako wanatukanwa
 
Naomba jitokeze kulaani kuawawa kinyama kwa Mzee kibao, kupigwa risasi tundu Lisu, na hivi karibuni kutekwa na kuumizwa Abdul Nondo kijana Mwenzio! Hapo unaonesha sense of humor. Usipofanya hivyo ujue umefanyika Laana kwa kushangilia damu za watu iumwagika juu ya uso wa Dunia.
Nilishatoa maandiko mazito mazito kuhusiana na masuala na watu wakanielewe vizuri kabisa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako.

Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la Polisi limechukua za kuendelea Kumshikilia Mdude Nyagali kwa ajili ya kumhoji tuhuma mbalimbali juu ya kauli na Maneno machafu ambayo amekuwa akiyatoa kupitia mitandao ya kijamii hususani Twitter maarufu kama X. Huyu jamaa amemtukana Sana Rais wetu, amemdhalilisha sana Rais wetu,amemshambulia kwa kila lugha chafu ya kuudhi,kukasirisha na kujenga chuki ,ghadhabu na hasira kali sana kwa watu.

Watu wengi sana nikiwepo hata mimi Mwenyewe nililalamika sana hata humu jukwaani na kuliomba jeshi la polisi limkamate huyu mtu ili atoe maelezo kwa kauli zake ambazo zingine zilikuwa za kihaini kabisa. Ilifika wakati nikawa najiuliza inakuwaje huyu kijana atoe lugha chafu za kumdhalilisha Rais wetu na viongozi wengine mbalimbali wa serikali bila staha wala aibu na hakamatwi?

Nilijiuliza hivi huyu kijana wazazi wake wapo hai? Amewahi kulelewa na kupata malezi ya wazazi wake hasa mama yake? Amewahi kwenda kanisani? Ana ndugu walio hai? Ni mzima kichwani au ana tatizo la kiakili? Anatumia madawa yanayomuathiri akili? Ana watu wa karibu wanao Mshauri ?Ana hofu ya Mungu kifuani pake?

Nilijiuliza zaidi kuwa je hawezi kukosoa serikali au mtu au taasisi au chama pasipo kutukana watu Matusi? Huwezi mtu ukakosoa kwa lugha ya staha na hoja na ukaeleweka? Mbona watu kama akina Dkt Martin Luther king Jr, Nelson Mandela walikuwa wakosoaji wakubwa wa serikali zao na mifumo ya serikali pasipo kutumia lugha ya matusi wala lugha chafu? Mbona wanakumbukwa hadi leo Duniani Kwote? Je hoja zao hazikusikilizwa?

Watanzania nikiwepo mimi Mwashambwa Lucas sipingi hata kidogo ukosoaji,sikatai serikali kukosolewa wala sikatai watu kupinga jambo fulani la serikali na kupendekeza mbadala fulani wa sera au kupinga sera za serikali.sikatai watu kukosoa hatua fulani fulani zinazoweza kuwa zimechukuliwa na serikali wala sipingi au kukataa kuwa serikali na viongozi wake wasikosolewe au kupingwa.Maana najua demokrasia inatoa uhuru wa watu kutoa maoni yao na mawazo yao.najua wakati mwingine ni kweli kuna jambo linaweza likawa linahitaji mjadala kabla ya kupitishwa kwake au kutiwa saini.

Nachopinga mimi ni Matusi tena matusi ambayo mtu unamtukana mtu bila sababu .hakuna demokrasia ya kutukana na kumtusi mtu,hakuna uhuru wa kumtolea na kumporomoshea matusi mtu na kumtweza utu wake.uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa mwingine unapoanzia.kila kitu kina mipaka yake.

Mara nyingi sana Mdude amemtukana Rais wetu,kumzushia uongo mkubwa usio na ushahidi wala hata kuweka ushahidi, kumchafua,kumdhalilisha kwa maneno machafu na hata kuichafua familia yake hasa wanae pamoja na kutunga uongo uongo usio na mashiko wala ushahidi .hajaishia tu kwa Mheshimiwa Rais bali ametukana pia viongozi wengine wengi sana kuanzia wa serikali na hata wa vyombo vya ulinzi na usalama hususani jeshi la polisi.

Ilifika wakati watu tukawa tunajiuliza kwanini mtu huyu hachukuliwi hatua? Kwanini hakamatwi kuhojiwa? Kwanini anaachwa aendelee kutukana na kudhalilisha watu bila kukamatwa? Vijana ni lazima tujifunze kuacha kuwa na mihemko ya kijinga jinga na kufuata Mkumbo .tutumie akili badala ya hisia.tufikirie kabla ya kufungua vinywa vyetu na kuzungumza badala ya kufikiri baada ya kuzungumza.

Jeshi la Polisi msisikilize Makelele ya wanaharakati uchwara na wenye akili aina ya huyo Mdude.Endeeeni kumfanyia mahojiano ya kina ili ajibu yoooote ambayo amekuwa akiandika kwenye mitandao yake ya kijamii.athibitishe kwa ushahidi maneno yake,.aeleze sababu ya kutukana matusi watu bila sababu.tuhuma zote anazotoaga azitolee maelezo vizuri. Msifanye kazi kwa kushinikizwa na mtu nje ya utaratibu wenu . endeleeni kumhoji kwa kina.

Hatuwezi kuwa na Taifa la vijana ambalo vichwa vimejaa matusi utafikiri vichaa au wendawazimu.unaanzia wapi kijana mdogo kama Mdude kutoa maneno kama anayotoaga kwa kiongozi Mkuu.Hiyo haiwezekani na haivumiliki.hatuwezi kufanya huo ukawa utamaduni na kuacha uendelee kukomaa na ikawa kama kawaida.Ni lazima tuheshimiane na kuheshimu mipaka ya kila mtu na utu wa kila mtu .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nionavyo mimi, kwa kuzingatia kwamba kosa au makosa yake yanadhaminika, na kwamba hadi wamkamate walikuwa wamesha 'establish' kosa au makosa yake, na siyo kumkamata, then ndiyo waanze kutafuta makosa: 1) kama wanafanya kwa mujibu wa sheria, sawa. 2) Kama wanafanya kinyume cha sheria, si sawa. Sasa kufarijika kwako kunategemea kama kunaangukia 1 au 2. Kama kunaangukia 1, ni sawa. Kama kunaangukia 2, si sawa, ni kuwa na roho mbaya kumtakia raia mwenzako mabaya. Na haya mambo huwa yanazunguka. Yanaweza kuanza kwa x, na siku nyingine yakamkuta Y, hata bila kujua sababu yake ni nini. So, take care, dunia huzunguka kama pia, na "aliyesimama aangalie asianguke" (1 Wakorintho 10:12).
 
Nashukuru Leo warioba ametoa siri za CCM kwamba wanatumi Jwtz,polisi,na Tume feki kubaki madarakani
 
Nionavyo mimi, kwa kuzingatia kwamba kosa au makosa yake yanadhaminika, na kwamba hadi wamkamate walikuwa wamesha 'establish' kosa au makosa yake, na siyo kumkamata, then ndiyo waanze kutafuta makosa: 1) kama wanafanya kwa mujibu wa sheria, sawa. 2) Kama wanafanya kinyume cha sheria, si sawa. Sasa kufarijika kwako kunategemea kama kunaangukia 1 au 2. Kama kunaangukia 1, ni sawa. Kama kunaangukia 2, si sawa, ni kuwa na roho mbaya kumtakia raia mwenzako mabaya. Na haya mambo huwa yanazunguka. Yanaweza x, na siku nyingine kwa Y, hata bila kujua sababu yake ni nini.
Mdude inatakiwa akae ndani kwanza mpaka amalize kufanyiwa mahojiano na kujibu na kuthibitisha maneno yake yote ambayo huwa anaropoka hovyo hovyo.ni lazima awajibike kwa kauli zake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako.

Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la Polisi limechukua za kuendelea Kumshikilia Mdude Nyagali kwa ajili ya kumhoji tuhuma mbalimbali juu ya kauli na Maneno machafu ambayo amekuwa akiyatoa kupitia mitandao ya kijamii hususani Twitter maarufu kama X. Huyu jamaa amemtukana Sana Rais wetu, amemdhalilisha sana Rais wetu,amemshambulia kwa kila lugha chafu ya kuudhi,kukasirisha na kujenga chuki ,ghadhabu na hasira kali sana kwa watu.

Watu wengi sana nikiwepo hata mimi Mwenyewe nililalamika sana hata humu jukwaani na kuliomba jeshi la polisi limkamate huyu mtu ili atoe maelezo kwa kauli zake ambazo zingine zilikuwa za kihaini kabisa. Ilifika wakati nikawa najiuliza inakuwaje huyu kijana atoe lugha chafu za kumdhalilisha Rais wetu na viongozi wengine mbalimbali wa serikali bila staha wala aibu na hakamatwi?

Nilijiuliza hivi huyu kijana wazazi wake wapo hai? Amewahi kulelewa na kupata malezi ya wazazi wake hasa mama yake? Amewahi kwenda kanisani? Ana ndugu walio hai? Ni mzima kichwani au ana tatizo la kiakili? Anatumia madawa yanayomuathiri akili? Ana watu wa karibu wanao Mshauri ?Ana hofu ya Mungu kifuani pake?

Nilijiuliza zaidi kuwa je hawezi kukosoa serikali au mtu au taasisi au chama pasipo kutukana watu Matusi? Huwezi mtu ukakosoa kwa lugha ya staha na hoja na ukaeleweka? Mbona watu kama akina Dkt Martin Luther king Jr, Nelson Mandela walikuwa wakosoaji wakubwa wa serikali zao na mifumo ya serikali pasipo kutumia lugha ya matusi wala lugha chafu? Mbona wanakumbukwa hadi leo Duniani Kwote? Je hoja zao hazikusikilizwa?

Watanzania nikiwepo mimi Mwashambwa Lucas sipingi hata kidogo ukosoaji,sikatai serikali kukosolewa wala sikatai watu kupinga jambo fulani la serikali na kupendekeza mbadala fulani wa sera au kupinga sera za serikali.sikatai watu kukosoa hatua fulani fulani zinazoweza kuwa zimechukuliwa na serikali wala sipingi au kukataa kuwa serikali na viongozi wake wasikosolewe au kupingwa.Maana najua demokrasia inatoa uhuru wa watu kutoa maoni yao na mawazo yao.najua wakati mwingine ni kweli kuna jambo linaweza likawa linahitaji mjadala kabla ya kupitishwa kwake au kutiwa saini.

Nachopinga mimi ni Matusi tena matusi ambayo mtu unamtukana mtu bila sababu .hakuna demokrasia ya kutukana na kumtusi mtu,hakuna uhuru wa kumtolea na kumporomoshea matusi mtu na kumtweza utu wake.uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa mwingine unapoanzia.kila kitu kina mipaka yake.

Mara nyingi sana Mdude amemtukana Rais wetu,kumzushia uongo mkubwa usio na ushahidi wala hata kuweka ushahidi, kumchafua,kumdhalilisha kwa maneno machafu na hata kuichafua familia yake hasa wanae pamoja na kutunga uongo uongo usio na mashiko wala ushahidi .hajaishia tu kwa Mheshimiwa Rais bali ametukana pia viongozi wengine wengi sana kuanzia wa serikali na hata wa vyombo vya ulinzi na usalama hususani jeshi la polisi.

Ilifika wakati watu tukawa tunajiuliza kwanini mtu huyu hachukuliwi hatua? Kwanini hakamatwi kuhojiwa? Kwanini anaachwa aendelee kutukana na kudhalilisha watu bila kukamatwa? Vijana ni lazima tujifunze kuacha kuwa na mihemko ya kijinga jinga na kufuata Mkumbo .tutumie akili badala ya hisia.tufikirie kabla ya kufungua vinywa vyetu na kuzungumza badala ya kufikiri baada ya kuzungumza.

Jeshi la Polisi msisikilize Makelele ya wanaharakati uchwara na wenye akili aina ya huyo Mdude.Endeeeni kumfanyia mahojiano ya kina ili ajibu yoooote ambayo amekuwa akiandika kwenye mitandao yake ya kijamii.athibitishe kwa ushahidi maneno yake,.aeleze sababu ya kutukana matusi watu bila sababu.tuhuma zote anazotoaga azitolee maelezo vizuri. Msifanye kazi kwa kushinikizwa na mtu nje ya utaratibu wenu . endeleeni kumhoji kwa kina.

Hatuwezi kuwa na Taifa la vijana ambalo vichwa vimejaa matusi utafikiri vichaa au wendawazimu.unaanzia wapi kijana mdogo kama Mdude kutoa maneno kama anayotoaga kwa kiongozi Mkuu.Hiyo haiwezekani na haivumiliki.hatuwezi kufanya huo ukawa utamaduni na kuacha uendelee kukomaa na ikawa kama kawaida.Ni lazima tuheshimiane na kuheshimu mipaka ya kila mtu na utu wa kila mtu .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Wewe utakuwa ji chizi au SHOGA. Siyo bure.
 
Unaandika huku unabubujikwa na machozi...utakua mfupi,mnene,mweusi una kitambi kikubwaa
 
Ulitaka nikosoe nini ambacho wewe umeona hakifanyiwa kazi na CCM na serikali yake
Kutowachikulia hatua polisi waliokuwa wanaingia vituo vya kupigia kula na ma box ya kula fake kama yule ASP wa Kigoma. Kazi yao ni kuzuia uhalifu na siyo kuupalilia.
 
Back
Top Bottom