Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
HahahahahahaaaWe wape tu sisi tumejipanga na maneno ya faraja kabisa
KwelIla hii dunia wajinga hawaishi wao iko laki mbili hawataki si ubeti hata mpira arifu
Tubet Simba anashindaWe watumie uliwe ili leo upate maumivu mara mbili.
1. Kupigwa pesa yako hiyo
2. Timu yako ya simba kufungwa na yanga leo
Nb tushajiandaa kwa maneno ya faraja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeipenda hiiWe wape tu sisi tumejipanga na maneno ya faraja kabisa
Acha ujinga, utaibiwa pesa yako. Kama waugwana wangekupa namba baada ya kucheza ndo uwape kamishen yao.Nisanueni mapema kabla sijawapa iyo elf 59999 nipate laki 2
Nisanueni njaa itaniuwaaaa
Hawa apa tulivyoanza
[emoji116]
View attachment 2205971
View attachment 2205974
View attachment 2205976
View attachment 2205977
Kwel kakaAcha ujinga, utaibiwa pesa yako. Kama waugwana wangekupa namba baada ya kucheza ndo uwape kamishen yao.
Naona unajadiliana na Al shabab namna bora ya kukutekaNisanueni mapema kabla sijawapa iyo elf 59999 nipate laki 2
Nisanueni njaa itaniuwaaaa
Hawa apa tulivyoanza
[emoji116]
View attachment 2205971
View attachment 2205974
View attachment 2205976
View attachment 2205977
YahNaona unajadiliana na Al shabab namna bora ya kukuteka
Naingia lainiNaona kwa mbali tetere anadonodonoa mtama kuelekea mtegoni...
Mwanaume ukiendekeza tamaa utakuja kuliwa!
tafuta kwa jasho
HahhhahaaNilivyoona amekujibu hapo nilipozungusha duara Nikaishia kusmile..Jamaa wanakubembeleza vizuri sn km nesi anavyombembeleza mtoto kumbe anataka kumchoma sindano ya takal[emoji28][emoji28]View attachment 2206015
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app