Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
- Thread starter
- #21
Niambiwa nisiwagawie namba yangu ya ela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambiwa nisiwagawie namba yangu ya ela
Matapeli hao
Na hii ya " ila usiweke dau kubwa zaidi ya 1000, utafilisi kampuni " 🤗Nilivyoona amekujibu hapo nilipozungusha duara Nikaishia kusmile..Jamaa wanakubembeleza vizuri sn km nesi anavyombembeleza mtoto kumbe anataka kumchoma sindano ya takal[emoji28][emoji28]View attachment 2206015
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wacha ujinga boya wewe!Nisanueni mapema kabla sijawapa iyo elf 59999 nipate laki 2
Nisanueni njaa itaniuwaaaa
Hawa apa tulivyoanza
👇
View attachment 2205971
View attachment 2205974
View attachment 2205976
View attachment 2205977
Hahahaha nimechekaNa hii ya " ila usiweke dau kubwa zaidi ya 1000, utafilisi kampuni " 🤗
Yaani Hadi saa hii hujawapa hiyo 59999? Wee jamaa hutaki hela?Hahahaha nimecheka
Huyo dada na urembo huo kajiingiza kwenye utapeli🤣Nisanueni mapema kabla sijawapa iyo elf 59999 nipate laki 2
Nisanueni njaa itaniuwaaaa
Hawa apa tulivyoanza
👇
View attachment 2205971
View attachment 2205974
View attachment 2205976
View attachment 2205977