Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku.

Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira.

Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
 
Utafia kwenye kusoma na ajira hupati kabisa, mpaka umalize fursa zitakua zimebadilika.
 
Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku.

Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira.

Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
Tafuta biashara au mradi ufanye, ingiza pesa directly.
Utaanza kuzunguka na macertificate yako kutafuta kazi, wakati bado unao.
 
Unachukua bachelor degree ya nini??
Unataka kusoma NTA level 5 na 6 (fafanua hapa mkuu). Ili tukushauri uzuri shekh.
Ukijibu hayo mambo mbili hapo juu bilashaka utapata ushauri utakao kufaa kulingana tunavyo paona mtaani pamoja na soko la ajira.
 
Wakati mwingine jifunze kupuuza baadhi ya mambo ili upate unacho kitaka kijana, humu watu wengi walisha changanyikiwa zaidi yako
Sasa kama wamevurugwa ndio walete mivurugo yao kwangu? Mimi mwenyewe ninavurugwa na mambo yangu mkuu, mtu akinieshimu namueshimu pia siendekezi shobo za kijinga
 
Unachukua bachelor degree ya nini??
Unataka kusoma NTA level 5 na 6 (fafanua hapa mkuu). Ili tukushauri uzuri shekh.
Ukijibu hayo mambo mbili hapo juu bilashaka utapata ushauri utakao kufaa kulingana tunavyo paona mtaani pamoja na soko la ajira.
Nasoma shahada ya sociology nataka kuchukua NTA levels za community development.
 
Back
Top Bottom