Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma

Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma

Nasoma shahada ya sociology nataka kuchukua NTA levels za community development.
Comrade, mtaani hakuna ajira. Ukimaliza hayo masomo, utaanza tena kutafuta kazi ambayo haipo! Hiyo hela unayotaka kusoma tena ni bora ukaitumia kama mtaji. Karibu mtaani ujiajiri. Huku ni kugumu tu kama mfukoni huna kitu.
 
Ingia kwanza mtaani hayo ma certificate hayan maana sana siku hz
Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku.

Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira.

Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
 
Nenda VETA hata usome driving ukishindwa kijifunza ufundi mwingine.

Diploma zipo nyingi sana mtaani kumbuka siku hizi wengi wakitoka form four wanapangiwa kwenda certificates na wanaunganisha hadi diploma.
 
Utafia kwenye kusoma na ajira hupati kabisa, mpaka umalize fursa zitakua zimebadilika.
Acha kumkatisha tamaa, although soko limebadilikq si vinaya akaanza, na si mtu wa kwanza. Watu wa aina hiyo wapo wengi vyuoni
 
"Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma"

Kuandika tuu heading ni shida, umeweka koma sehemu ambayo sio sahihi, Nashauri uanze certificate
 
Back
Top Bottom