Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku.
Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira.
Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
Dogo ushauri wangu usisome kwa kazi za Tanzania badala yake soma kwa kazi za baadae Dunia nzima. Nenda kafanye research kampouni kubwa za teknologia, banks kubwa duniani na makampuni makubwa Duniani wana post kazi za ujuzi gani. Soma maana tunakoenda unaweza kufanya kazi kutoka popote Duniani. Hizi kazi za serikali zinategemea sana misaada sijui kazi za mazingira, kugawa gas, miradi ya misaada hizo kazi hazitakuwepo miaka ijayo. Nenda kwenye website za kampuni kubwa hapo angalia kazi wanazo post. Hizo top 100 zote ziko powa usichague kampuni za aina moja. Ukimaliza Tafuta kazi popote Dunia achana na dhana ya lazima kazi iwe Tanzania. Mtoto wa Kaka yangu mfano anafanya kazi jimbo la Tennessee hapa Marekani wenyewe ndio walimpa visa na kazi. Alipata degree ya Accounting halafu akapiga vi course vya online tena free. wakampa kazi $60,000 kwa mwaka na alikuwa na miaka 23 tu !
Companies ranked by Market Cap - CompaniesMarketCap.com
Ranking the world's top companies by market cap, market value, revenue and many more metrics