Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Wakuu wa jf hamjambo??wakubwa zangu shikamoo!kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mwaka huu nategemea kumaliza ka degree kangu kakwanza ila kutokana na hali mbaya ya ajira ilivyo hapa nchini kwetu nimekua nikijiuliza sana bila kupata majibu ni kitu gani nitafanya baada ya kumaliza chuo!najua kuna ma bro hapa naomba tushauriane,mlivomaliza vyuo ndugu zangu ilikuaje?tusaidiane jamami hali ni mbaya,N.B.course nayofanya Ni llb.