Namaliza mwaka huu mwezi wa saba sijui nitaenda wapi na sijui nitafanya nini.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Wakuu wa jf hamjambo??wakubwa zangu shikamoo!kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mwaka huu nategemea kumaliza ka degree kangu kakwanza ila kutokana na hali mbaya ya ajira ilivyo hapa nchini kwetu nimekua nikijiuliza sana bila kupata majibu ni kitu gani nitafanya baada ya kumaliza chuo!najua kuna ma bro hapa naomba tushauriane,mlivomaliza vyuo ndugu zangu ilikuaje?tusaidiane jamami hali ni mbaya,N.B.course nayofanya Ni llb.
 
Kijana wa chuo kikuu unaogopa maisha kiasi hiki? Kweli?
 
Sio kuogopa maisha,em aiming high bro,naitaji kufanya vitu vya tofauti usinishangae ni shauri.
 
Kijana wa chuo kikuu unaogopa maisha kiasi hiki? Kweli?

Siyo kuogopa maisha anaongea ukweli, mbona kuna magraduate wengi hawana kazi cha msingi mpe ushahuri.
 
Mkuu ukiingia mtaani usichague kazi, hata kazi unayoona ni ya chini au inadharaulika wewe fanya tu.

Alafu uwe tayari kufanya kazi za kujitolea (volunteer).
 
Nenda na vyeti vyako kariakoo maduka ya wachina watakuajiri wamechoka kuibiwa
 
... ka degree kangu kakwanza ...
jiamini na ujiondoe kwenye unyonge!!!ka degree ndo nini hiyo ni degree hakuna ka degree!sema namaliza degree yangu!...sasa kama ushakuwa mnyonge unategemea kushindana kwenye soko la ajira kweli!!
 
Mkuu ukiingia mtaani usichague kazi, hata kazi unayoona ni ya chini au inadharaulika wewe fanya tu.

Alafu uwe tayari kufanya kazi za kujitolea (volunteer).
kwa mfano labda nikifanya kazi za kujitolea,nini faida yake tofauti na kupata uzoefu.nauliza kwa nia njema.kuhusu kuchagua kazi hapana,mie mtu wa kazi.
 
Nenda na vyeti vyako kariakoo maduka ya wachina watakuajiri wamechoka kuibiwa

hahahaha asante mkuu,lakini sina uzoefu wala mafunzo ya ulizi,ila nikipata nafasi sita acha ipite.
 
jiamini na ujiondoe kwenye unyonge!!!ka degree ndo nini hiyo ni degree hakuna ka degree!sema namaliza degree yangu!...sasa kama ushakuwa mnyonge unategemea kushindana kwenye soko la ajira kweli!!

najihamin sana,nimetumia hiyo lugha kumvutia msomaji,najua a degree is not a joke for sure.
 
Komaa tu mdau! Kila uonapo giza linazidi kua zito, jua kwamba mwanga nao ndiyo unazidi kukaribia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…