Namaliza mwaka huu mwezi wa saba sijui nitaenda wapi na sijui nitafanya nini.

Kuna zile ajira milioni moja zilizoahidiwa na Ankal wa mjengoni pale Magogoni Dokta Jakamoyo Keykwete, sasa kama vipi unaweza ukamwendea hewani akupe mstakabali...
Piga 112 wakupe maelekezo utampata vipi...
 
Hapa jirani kuna mwana wa kuitwa Popromo, anamiliki mashine ya kukoroga zege, Jumatatu mpaka Jumamosi inaingia mzigoni. Hakuna mkataba wala zengwe, wewe wahi namba tu asubuhi, buku 10 per day. Nimeku-PM namba ya huyo mwamba.
NB: Uwe na uwezo wa kuvumilia matusi maana ni lugha ya kawaida site.
 
Kiongozi !
Kaizer, vipi hali ? Nimekua sikuoni sana kwa jamvi currently! Nini mbaya ?

Kingozi Judgement

Nipo saaana tu, ila labda wewe ambaye ulikuwa umesusa

Habari zaidi muulize amu, Paloma, Madame B, kipaji halisi, Zion Daughter, Asprin, KakaKiiza, Preta, Arushaone, Mamndenyi and of course ODM babu Asprin,, maana wake zangu AshaDii na gfsonwin wananikeep busy hawataki nione maingizo mapya ati!m charminglady na Elizabeth Dominic wote wamenialika pande hizo, will be there soon
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wasomi mnaogopa sana shule inapokwisha eeh,
njoo huku ajira za kujiajiri zipo za kumwaga.

 
Kaizer hebu mpe huyu anayegraduate ajira bana......kam vipi akanyoe kabisa sharubu za mnyama

hahaha tatizo Dogo ana very high expectations kwanza apunguze hizo ajue kuwa pamoja na degree yake anaweza kurudi home kufanya kazi ndogo ndogo maana hata za kujitolea nazo mizengwe siku hizi.....kunyoa masharubu ya mnyama....hapana Paloma jamani...lol tuwaachie Libolo
 
Last edited by a moderator:
Kuna zile ajira milioni moja zilizoahidiwa na Ankal wa mjengoni pale Magogoni Dokta Jakamoyo Keykwete, sasa kama vipi unaweza ukamwendea hewani akupe mstakabali...
Piga 112 wakupe maelekezo utampata vipi...

Dr. fastjt....ni janga
 
Kuna zile ajira milioni moja zilizoahidiwa na Ankal wa mjengoni pale Magogoni Dokta Jakamoyo Keykwete, sasa kama vipi unaweza ukamwendea hewani akupe mstakabali...
Piga 112 wakupe maelekezo utampata vipi...


heheheh zile za kufungua visoda?
 
Kuna zile ajira milioni moja zilizoahidiwa na Ankal wa mjengoni pale Magogoni Dokta Jakamoyo Keykwete, sasa kama vipi unaweza ukamwendea hewani akupe mstakabali...
Piga 112 wakupe maelekezo utampata vipi...
hahahahahahahahahahaha uwiiiiii mweeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…