hahahahahahahahahahaha uwiiiiii mweeeeeeeeeeee
n'kwei kabisa!
hivi upo wewe?!?!?
yani baada ya kuliona hili neno kuanzia masikio mpaka kidole cha mwisho vimesisimka... naipenda Chichiemu
yani baada ya kuliona hili neno kuanzia masikio mpaka kidole cha mwisho vimesisimka
aahhhheheh...sio hiyo unayoijua wewe!!
aahhh
acha hizo mambo zako najua tu ni hiyohiyo
teh!...siku moja utakuja kunielewa, ni kiswahili tu kimekupiga chenga
Karibu uje kulibeba boksi ughaibuni
Ekeee
sitabisha maana mimi si mjuvi sana wa hiyo sarufi ya kiswahili
nakusubiri mwalimu wangu unieleweshe ili mtima wangu upate kutulia
Siku moja nitaelewa
Kingozi Judgement
Nipo saaana tu, ila labda wewe ambaye ulikuwa umesusa
Habari zaidi muulize amu, Paloma, Madame B, kipaji halisi, Zion Daughter, Asprin, KakaKiiza, Preta, Arushaone, Mamndenyi and of course ODM babu Asprin,, maana wake zangu AshaDii na gfsonwin wananikeep busy hawataki nione maingizo mapya ati!m charminglady na Elizabeth Dominic wote wamenialika pande hizo, will be there soon