Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Ndio nini HIO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nini HIO?
MandingoNdio nini HIO?
Ndio umeona Mandingo ushajua kwa hio?Mandingo
Unataka utembezewe Mandingo mpaka uzimie?Mandingo
Nimekuachia wewe Nyamwi uendeleze mi nimeretire 😹😹😹
Ila unajitahidi kuniforce nikujibu 😹😹😹Wanachambuaga nini hao mazivu au? Kwamba hili limekomaa hili bado bichi? Alafu hao wote mtu mmoja kasoro Kapeace wengi wote vichomi na wote walivyo namna gani ID imeanza na L ushaelewa yaan Le na La wote ni ID moja yaan mtu mmoja
Halafu siku ingine niweke juju bhana nijione mapemaAsante sana 🤝
Niko salama kabisa, simjui mtu huyo ila bila shaka amekwishaona salamu zako hapa.Vishu Mtata umeamkaje babangu msalimie YONASHA
Mbona wote wapohii ni dharau kumsahau mwenyeki wa kataa ndoa na nyeto mhe. dronedrake, ceo wa nofap proton pump attorney general Mbaga Jr ,mhe Poor Brain, delegate member Intelligent businessman. Deputy minister of mineral Evelyn Salt ambaye ni shemeji yako bila kumsahau mama wa heshima Mamndenyi (yaani migombani) your sister in law To yeye na wote ninaotamani kuwambato Nyamwi255, Lamomy Unique Flower all in all umemsahau cocastic na woote wanaolichangamsha jukwaa letu. Nawapenda na kuwasilimu kutoka hapa Nairobi Kenya kwa sasa nipo kwenye kitu cha GZ kupiga vita rushwa, mauji ulawiti na ushoga.
kuna jina halipoMbona wote wapo
Ni bure kabisa Mkuu labda kama taratibu zimebadilikaHii wanalipia sh ngap mkuu?
Nimeomba wamevungaNi bure kabisa Mkuu labda kama taratibu zimebadilika