Namaliza mwaka kama mwanachama wa JamiiForums. Naomba sapoti yenu tena

Wanachambuaga nini hao mazivu au? Kwamba hili limekomaa hili bado bichi? Alafu hao wote mtu mmoja kasoro Kapeace wengi wote vichomi na wote walivyo namna gani ID imeanza na L ushaelewa yaan Le na La wote ni ID moja yaan mtu mmoja
Ila unajitahidi kuniforce nikujibu 😹😹😹
Hizo level nshavuka bana nimemuachia kijiti nyamwi aendelee kuwachachua.!!
 
hii ni dharau kumsahau mwenyeki wa kataa ndoa na nyeto mhe. dronedrake, ceo wa nofap proton pump attorney general Mbaga Jr ,mhe Poor Brain, delegate member Intelligent businessman. Deputy minister of mineral Evelyn Salt ambaye ni shemeji yako bila kumsahau mama wa heshima Mamndenyi (yaani migombani) your sister in law To yeye na wote ninaotamani kuwambato Nyamwi255, Lamomy Unique Flower all in all umemsahau cocastic na woote wanaolichangamsha jukwaa letu. Nawapenda na kuwasilimu kutoka hapa Nairobi Kenya kwa sasa nipo kwenye kitu cha GZ kupiga vita rushwa, mauji ulawiti na ushoga.
 
Mbona wote wapo
 
Back
Top Bottom