Namaliza mwaka kama mwanachama wa JamiiForums. Naomba sapoti yenu tena

Kama haujatajwa panda juu mbinguni ukazibe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š

Kama haujatajwa nenda kaoge baharini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚

Hayo juu ni maneno ya nyimbo za taarabu...

So nimeamua kunogeshaa
Kama hujatajwa afanye Nini vileee..

Happy new year in advance ☺️ all Jf members.
 
Wakutapeli simu kizembe zembe hivooo πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
Eti jana asubuhi nimeamka saa 4 nikasema niende dukani mara 1 kununua sabuni nifue nguo,

Nafika barabarani hivi nakutana na jamaa kavaa kachomekea na viatu vyeusi anasema eti "dogo una haraka sana, kuna deal hapa unisaidie kubeba viti kwenye gari kuna posho kidogo"
Tamaa ya hela ikanijaa nikamkubalia, akapita jamaa mwingine akamwambia nae tusaidizane atugei elfu 10 kila mtu. Sasa tumefika Sehemu yenyewe anasema tena ampigie simu boss, akachukua simu ya yule jamaa akaongea nae kidogo eti simu ikazima chaji, nimpe yangu ampigie boss 😁😁 nikamwambia simu yangu imezima, akasema "inatumia charge gani niiboost kidogo hapo kwa jamaa yangu"

Nikashtuka 😁😁😁
Mara jamaa wakaongozana kumbe ni wale wale wanajuana
 
Daah mkuu 😁😁
 
Ubarikiwe mkuu,lkn mbona ni kama unatuaga.
 
Mmmmh kho kho kho. Jeshiii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…