Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Hao waliotest positive wamelazwa wapi? If they are positive and are stil healthy and kicking we unapata tafsiri gani? Hata huko Kenya I am sure wakitest watu barabarani watajiona watawakuta wengi tu wako positive bila kuwa na dalili yeyote
Na hiki ndio kitu hawa jamaa wanakwepa kujadili, hao wote wamelazwa wodi ipi, watu kama wanaweza kuishi na kirusi hiyo inaweza ikawa faida maana tunaambiwa tujifunze kuishi na hiki kirusi maana hakiondoki leo wala kesho, hata UK wamegundua hilo.
 
Mbona update za Ukimwi na malaria huwa hatupewi na hamlalamiki?

Mie naona waendelee kupiga kimya tu as long as tunajua Covid 19 ipo mtaani so tuendelee kujifukiza na kujikinga
Exactly, sijaona mtu akilalamikia update za HIV na malaria, ila watu wanajikinga kwa mipira na neti kama kawaida
 
Nadhani tuna miili migumu sana, yaani nimepata moyo kusikia hii habari, sasa nimeamini wote hapa Tanzaniaz tuna Corona ila tunapona tu kimya kimya bila kujijua
 
CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu hakuna cha vita ya uchumi wala nini hivyo visingizio vya wana CCM havina mashiko
Hakika utakua na minyoo!! unadhani kila anayeona juhudi za Rais ni CCM? wengine hatuna vyama isipokua uhalisia unaonekana, nafikiri ninyi wengine ni watoto au mna matatizo ya akili kiasi hamuwezi kuona jambo kwa unadani wake

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Vita vya corona haina chama hata wapagani wa vyama ambao ndiyo wengi hawakubaliani na mbinu za Serikali ya CCM kwani Tanzania imeachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani mikusanyiko misongamano iendelee kama kawaida.
Hii agenda ya kufunga miskiti, makanisa Kwa Maana ya nyumba za Ibada, Juzi Mch Gwajima alikemea akasema!!

Siku hizi Chadema imekuwa ni sehemu ya wapinga Mungu, kwa sababu ndio Chama kilichobeba agenda hii Kwa asilimia zote na wako na msukumo mkubwa kuliko kitu kingine,

Kwa Maana hiyo, ndiyo ikamfanya kuondoa Mapenzi yake Kwa Chama cha Chadema akaamrisha rasimi hiki Chama kipigwee na kipotee Kwa sababu kinamsaidia shetani kazi yake!!

Mkuu, huyo ni Gwajima, Kwa watu wacha Mungu unaiona hoja ya Mch Gwajima ina kwere,
 
Leo nimewaskia majirani zangu mtaani wakisema hakuna CORONA TANZANIA,
Wagonjwa wamepungua

TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
 

Unategemea maajabu gani kutoka kwa dada wa Tanga
 
Nadhani tuna miili migumu sana, yaani nimepata moyo kusikia hii habari, sasa nimeamini wote hapa Tz tuna Corona ila tunapona tu kimya kimya bila kujijua
Nmesikiliza bbc watu baada ya kulegezewa masharti watoke kufanya kazi kwa masharti ya distancing, unaambiwa kwenye usafiri wa uma watu wamejazana hakuna cha distancing wala mdogo wake!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Hao majirani wanahangaika tu.
watakuwa punguani kudhani wanachofanya kuzuia corona kitafanikiwa.
corona yupo na tunaishi naye vizuri tu huku mtaani kama tunavyoishi na wadudu wengine.
Hata wao wakipima randomly mitaani watashangaa kuwa kumbe wanatwanga maji kwenye kinu.
Magufuli way is the only way.
Very soon kila goti litapigwa.
 
Reactions: cpt
Wewe mbweha ni mbumbumbu kilaza juha uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho acha ufala zingiatia hoja ukianza kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani , hiyo ID yako Mbona ni ya kishamba hakuna anayeangaika nayo tupo busy na hoja, juhudi gani za Rais? Acha ujinga wewe huna Akili undani wa hili jambo ni kubwa lakini wewe na vilaza wenzako mnachukulia poa
 
Nadhani tuna miili migumu sana, yaani nimepata moyo kusikia hii habari, sasa nimeamini wote hapa Tz tuna Corona ila tunapona tu kimya kimya bila kujijua
Mkuu maambukizi ni makubwa na bado yanaenea wauza chipsi hawavai barakoa wazee vijana wanashinda vijiweni vibarazani hakuna wa kuwakemea, CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
Kichaa tuu ndiye anayeweza mpigia kura jiwe
 
Inawezekana kabisa tuna mamilion ya watu wanaumwa corona
Lakini hawafi.Ona kila siku nchi jirani wanasema ohh madereva wa Tanzania Wana corona lakini hakijawahi tokea Kifo hata Cha dereva mmoja kwa corona!!!

Siasa tu Hakuna Cha corona Wala nini
 
Mkuu maambukizi ni makubwa na bado yanaenea wauza chipsi hawavai barakoa wazee vijana wanashinda vijiweni vibarazani hakuna wa kuwakemea, CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
Nadhani waTz wote tuna Corona, sema miili imezoea shida hii
 
Uingereza watu wanaendelea kufa kila siku wanakufa wengi sana takwimu zipo kila siku lakini kwa Tanzania watu wanabanana kwenye mabenchi vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani wanaambukizana sana lakini Serikali ya CCM inaficha takwimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…