Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
kwahiyo magonjwa yote ambayo hayana dawa wawe wanatangaza kila siku idadi ya wanaoambukizwa na kufa?Ukimwi na malaria zina dawa angalau za kupunguza lkn corona bado haijapata dawa wala chanjo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo magonjwa yote ambayo hayana dawa wawe wanatangaza kila siku idadi ya wanaoambukizwa na kufa?Ukimwi na malaria zina dawa angalau za kupunguza lkn corona bado haijapata dawa wala chanjo.
Na hiki ndio kitu hawa jamaa wanakwepa kujadili, hao wote wamelazwa wodi ipi, watu kama wanaweza kuishi na kirusi hiyo inaweza ikawa faida maana tunaambiwa tujifunze kuishi na hiki kirusi maana hakiondoki leo wala kesho, hata UK wamegundua hilo.Hao waliotest positive wamelazwa wapi? If they are positive and are stil healthy and kicking we unapata tafsiri gani? Hata huko Kenya I am sure wakitest watu barabarani watajiona watawakuta wengi tu wako positive bila kuwa na dalili yeyote
Exactly, sijaona mtu akilalamikia update za HIV na malaria, ila watu wanajikinga kwa mipira na neti kama kawaidaMbona update za Ukimwi na malaria huwa hatupewi na hamlalamiki?
Mie naona waendelee kupiga kimya tu as long as tunajua Covid 19 ipo mtaani so tuendelee kujifukiza na kujikinga
Nadhani tuna miili migumu sana, yaani nimepata moyo kusikia hii habari, sasa nimeamini wote hapa Tanzaniaz tuna Corona ila tunapona tu kimya kimya bila kujijua😂😂 Kwa namna hii!!! Kama ni kweli! Natilia mashaka afya zetu, huenda tumeathirika karibu wote Ila cha ajabu, Watanzania wako Imara licha ya kutembea na virusi mwilini mwao, hii Nayo ni ajabu duniani.
Mimi nishauri, ikiwezekana, kuchukuliwe vipimo, virusi wale wapimwe utendaji wao wa kazi kwenye miili yetu Watanzania ili ibainike kama virusi hao hawawezi kutuathiri tuendelee kujichanganya zaidi.
Hakika utakua na minyoo!! unadhani kila anayeona juhudi za Rais ni CCM? wengine hatuna vyama isipokua uhalisia unaonekana, nafikiri ninyi wengine ni watoto au mna matatizo ya akili kiasi hamuwezi kuona jambo kwa unadani wakeCCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu hakuna cha vita ya uchumi wala nini hivyo visingizio vya wana CCM havina mashiko
Hii agenda ya kufunga miskiti, makanisa Kwa Maana ya nyumba za Ibada, Juzi Mch Gwajima alikemea akasema!!Vita vya corona haina chama hata wapagani wa vyama ambao ndiyo wengi hawakubaliani na mbinu za Serikali ya CCM kwani Tanzania imeachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani mikusanyiko misongamano iendelee kama kawaida.
Hatetei chochote, ana state a possibility
Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?
Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi! Kama unaona huwezi kufuata mwongozo sahihi kuukabili huu ugonjwa basi ondoka ili tujue tutachukua hatua gani.
Umefikia hatua sasa unatukera waziwazi!
Nmesikiliza bbc watu baada ya kulegezewa masharti watoke kufanya kazi kwa masharti ya distancing, unaambiwa kwenye usafiri wa uma watu wamejazana hakuna cha distancing wala mdogo wake!Nadhani tuna miili migumu sana, yaani nimepata moyo kusikia hii habari, sasa nimeamini wote hapa Tz tuna Corona ila tunapona tu kimya kimya bila kujijua
Hao majirani wanahangaika tu.Serikali ya CCM pamoja na Rais, waitishe kikao cha dharura kulinusuru taifa. Hili swala halina chama wala kabila, ni swala la dharura la kitaifa. Mambo yanaelekea kubaya.
Tumefika babaya tunatengwa na majirani pamoja pamoja na jumuiya ya kimataifa, na hii inatokana na makasa tunayofayanya kama taifa. Hatujafika sehemu ya kujitenga na jumuiya ya kimataifa. Hili ni gazette la the The Standard la KenyaView attachment 1449158
View attachment 1449163
Wafunge tu mpaka aisee, kila mtu apambana na hali yakeCorona ni ugonjwa kama magonjwa mengine. kama ni kweli wamekutwa na corona warudishwe kwao.
kwanini msifunge huo mpaka nyie wakenya? FUNGENI kila mtu abaki kwao.
Lawama hazisaidii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbweha ni mbumbumbu kilaza juha uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho acha ufala zingiatia hoja ukianza kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani , hiyo ID yako Mbona ni ya kishamba hakuna anayeangaika nayo tupo busy na hoja, juhudi gani za Rais? Acha ujinga wewe huna Akili undani wa hili jambo ni kubwa lakini wewe na vilaza wenzako mnachukulia poaHakika utakua na minyoo!! unadhani kila anayeona juhudi za Rais ni CCM? wengine hatuna vyama isipokua uhalisia unaonekana,nafikiri ninyi wengine ni watoto au mna matatizo ya akili kiasi hamuwezi kuona jambo kwa unadani wake
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kwangu hii ni bora maana tumeambiwa tujifunze kuishi nao maana haundoki leo wala kesho, hata UK wamegundua hiloKwamba tunacho halafu hatufi.
Mkuu maambukizi ni makubwa na bado yanaenea wauza chipsi hawavai barakoa wazee vijana wanashinda vijiweni vibarazani hakuna wa kuwakemea, CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.Nadhani tuna miili migumu sana, yaani nimepata moyo kusikia hii habari, sasa nimeamini wote hapa Tz tuna Corona ila tunapona tu kimya kimya bila kujijua
Lakini hawafi.Ona kila siku nchi jirani wanasema ohh madereva wa Tanzania Wana corona lakini hakijawahi tokea Kifo hata Cha dereva mmoja kwa corona!!!Inawezekana kabisa tuna mamilion ya watu wanaumwa corona
Nadhani anataka waanze kutangaza na wenye matatizo ya moyo on a daily basiskwahiyo magonjwa yote ambayo hayana dawa wawe wanatangaza kila siku idadi ya wanaoambukizwa na kufa?
Nadhani waTz wote tuna Corona, sema miili imezoea shida hiiMkuu maambukizi ni makubwa na bado yanaenea wauza chipsi hawavai barakoa wazee vijana wanashinda vijiweni vibarazani hakuna wa kuwakemea, CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
Uingereza watu wanaendelea kufa kila siku wanakufa wengi sana takwimu zipo kila siku lakini kwa Tanzania watu wanabanana kwenye mabenchi vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani wanaambukizana sana lakini Serikali ya CCM inaficha takwimuNmesikiliza bbc watu baada ya kulegezewa masharti watoke kufanya kazi kwa masharti ya distancing, unaambiwa kwenye usafiri wa uma watu wamejazana hakuna cha distancing wala mdogo wake!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app