Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Kenya wanatumiwa na mabeberu, wanataka kumkwamisha JIWE lakini hawata fanikiwa
 
Kuna ripoti kuwa Machine za kupima Virusi vya Corona kutoka China zina matatizo makubwa, Sehemu nyingine watu wenye virusi vya corona wamepimwa na kuonekana hawana hata baada ya kupimwa mara sita. UK wameamua kuagiza machine mpya na kuwagharimu dola mil 20.
U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.

Indian na wao wamefanya uchunguzi na kukuta hazipimi vizuri.

Mfano:
Kule Rajasthan India waliwapima wagonjwa wenye corona na majibu yakaja negative.
Several Indian states said the Chinese tests had produced conflicting results.
Officials in Rajasthan state said the kits were initially used for testing patients who already had a confirmed infection for coronavirus but some results came back negative.
India stops rapid tests over China kit issues

Pia Uturuki, Uhispania na Jamhuri ya watu wa Czech wamelalamika kuuziwa machine mbovu
Coronavirus test kits withdrawn in Spain over poor accuracy rate

Utafiti uliofanywa na Derick Crook, profesa wa Microbiology kutoka hospitali ya John Radcliffe Hospital huko Oxford, UK wamegundua kuwa Katika kit tisa zilizofanyiwa utafiti, zimeonekana kuwa na ukweli wa 55%-70%. Maana yake ni hii, kwa kila watu 100 wenye corona 45 walionekana hawana au Katika kila watu 100 wasio na corona 45 walionekana wanao

-Mfano wa test kit ilivyotoa majibu feki kwa marehemu Rodger Zekirovski kule Macedonia
For several days in late March, North Macedonian citizen Rodzer Zekirovski had all the symptoms of COVID-19: a high fever, aching muscles, and a dry cough. But he couldn’t manage to get a lab test at a state hospital.
Instead, Zekirovski went for what seemed like a good alternative: a Dutch-made test — advertised by a private clinic as high quality — that could accurately detect the disease in mere minutes. Or at least that’s what he thought as he headed home from the clinic, relieved, with a negative test result.
Three days later, Zekirovski, 45, was dead. The official results from a subsequent test showed he had indeed been infected with SARS-CoV-2, the virus that causes COVID-19.
Zekirovski’s wife, Gjultena, said the false negative led his family to take risks that were, in hindsight, terrifying.
Uncertain Diagnosis: The Murky Global Market for Coronavirus Antibody Tests - OCCRP

Donald Trump ana wasiwasi kuwa China ilipanga ugonjwa uenee duniani kwa makusudi na kuahidi kufanya uchunguzi wa kina ili kuthibitisha madai yake.’

Maoni yangu
Yawezekana hawa wachina wametengeneza au kuachia kwa makusudi hivi virusi kuingia duniani ili wauze mashine feki za kupima Corona
 
Kenya wanapima watu 35,000 kwa siku, sijui kama unajua!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishawapima wanawarudia tena kuwapima au hawarudii? Kwani ukishshapimwa ukiondoka so what kwani corona. Haiwezi mpata Hugo uliyempima? Ujinga tu kwani MTU ukimpima malaria ukamkuta hana maana yake Wewe ukiondoka ndio hawezi pata malaria kisa ulimpima
 
Yaani hapo ndo umetumia saaana akili yako.
Ngoja nikusaidie kwa kukujibu maswali yako yote kuwa HAPANA
So what? ndo inawaondolea Corona?
 
Yaani hapo ndo umetumia saaana akili yako.
Ngoja nikusaidie kwa kukujibu maswali yako yote kuwa HAPANA
So what? ndo inawaondolea Corona?

Mkuu haihitaji akili yoyote ya kutumia kutambua kuwa kwetu wamefanya haya yaliyoorodheshwa. Haya ni baadhi tu yapo mengi zaidi.

Kwani ni siri?

Au sasa ndiyo wamekutuma kuja kujaribu kutuaminisha vinginevyo kama yule Profesa wa jalalani anavyojaribu kufanya?

Lipi ambalo your enviable president hajafanya?


1. Nchini mwake anaficha updates za waathirika wa Corona.
2. Amekimbia ikulu zake Dodoma na Dar ambako officially anapaswa kuwa.
3. Ametutaka kujikita kwenye maombezi, mitishamba na kufuka nyungu.
4. Anakimbia simu za marais wenzake.
5. Badala ya kupima watu amekuwa akipima mbuzi, kondoo, mapapai, oil nk, pia.
6. Nchini mwake Corona imebatizwa jina kuwa changamoto za kupumua.
7. Nchi hii majirani zetu wanatufungia mipaka yao.
8. Anashutumiwa na marafiki zake kuwa hashauriki.
9. Nk nk

Ukipenda boga penda na maua yake. Hayo ndiyo maua ya rais wetu kipenzi JPM.
 
Itakuwa hawa madereva wanatumiwa na mabeberu kuleta taharuki..
Ndugu zangu watanzania tuchape kazi ..tusitishane
 
Hatimaye Kenya wameamua kutusaidia kupima na kutangaza idadi. Ummy tuliishia wapi ili tuwajumlishe na hawa 23?!
 
Mkuu maambukizi ni makubwa na bado yanaenea wauza chipsi hawavai barakoa wazee vijana wanashinda vijiweni vibarazani hakuna wa kuwakemea, CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
Kwani hata uchaguzi mkuu ukiwepo upande wa pili watafurukuta kweli.
 
Uchaguzi haiwezekani kuharishwa Tunataka tuifute Chadema
CCM wanataka Watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu hakuna cha vita ya uchumi wala nini hivyo visingizio vya wana CCM havina mashiko
 
Wacha tuvune tulichopanda mwaka 2015!!
Ni bora wamekufa saizi hawana stress

1. Kufikiri
2. Kulea watoto kwa maadili
3. Kushindana na hewa
4. Kudhani kunamaisha magumu wakati mepesi unakataa

5. Kubembeleza watu wasio bembelezeka

6. Kuumwa

7. Kujudgejiwa

8. Kusafiri wakati huna hela

9. Kuombwa hela

10. Kusoma

11. Kuandika

12. Kuelewa hewa

13. Kumiliki mali

N.k
 
Uchaguzi haiwezekani kuharishwa Tunataka tuifute Chadema
Ni bora wamekufa saizi hawana stress

1. Kufikiri
2. Kulea watoto kwa maadili
3. Kushindana na hewa
4. Kudhani kunamaisha magumu wakati mepesi unakataa

5. Kubembeleza watu wasio bembelezeka

6. Kuumwa

7. Kujudgejiwa

8. Kusafiri wakati huna hela

9. Kuombwa hela

10. Kusoma

11. Kuandika

12. Kuelewa hewa

13. Kumiliki mali

N.k
 
Acha uongo!! Unakaa na maiti wapi? Unaamua kuzusha bila aibu!! Lete ushahidi wa picha ukiainisha jina la marehemu na sehemu ulipo, vinginevyo nyamaza!! Usitake kuleta taharuki!! Maelekezo ya serikali hamfuati lakini ndio wapiga domo wakubwa! Hapo ulipo huenda hata Barakoa huna, sanitizer huna, ulichonacho ni mdomo tu uliojaa maneno ya chuki!!
 
Na nyie madreva hakikisha umepima nchini kwako kabla ya kuanza safari inayovuka mpaka wa Tanzania! Watu 25 kuonekana na COVID 19 si sababu ya taharuki kwa hali halisi duniani kwa sasa.
 
This is not a big deal!! Some of our neighours have more COVID 19 cases than us!! However, we have to accept the fact that there is no any other way out except for them to be sent back!
 
Nakuomba acha kuongea hii kauli unaumiza wafiwa ambao wamefariki na corona naomba ufute hii kauli kumbuka Mungu yupo na anaona viumbe wake wote ulimwenguni

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi wa picha, majina na sehemu( yaani vifo Viki wapi) bila hivyo kila mmoja ataona unaongelea vifo vya kufikirika! Ni kweli vifo vipo na serikali inavitangaza kama vikmetokea hospitalini. Tatizo waMbowe wanatia chumvi sana!
 
Mbona unashindwa kuelewa hata jibu langu?
Nimekwambia yote hayo kayafanya SO WHAT?
Asingefanya tungepata nini? hao ambao wamefanya wamepata nini walichotuzidi?
 
Mbona unashindwa kuelewa hata jibu langu?
Nimekwambia yote hayo kayafanya SO WHAT?
Asingefanya tungepata nini? hao ambao wamefanya wamepata nini walichotuzidi?

Usihamishe magoli katikati ya mchezo:

Uliandika "mwisho wa siku hao wote watarudi kufuata alichokifanya Magu - na wameshaanza". Mwisho wa kukunukuu.

Bandiko lako na pia alichokifanya Magu ambacho unakubali na ambacho labda wameshaanza hao marais wenziwe kukifuata kipo hapa:

 
Nadhani Kenya wanatumia vipimo vya mabeberu! Haiwezekani wa Tz wakutwe na Coronavirus ugenini🤔🤔🤷‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…