Namashaka, El Nino itatushitukiza siku moja, tutapigika, tutachapika, unadhani tutarudia kupuuza?

Namashaka, El Nino itatushitukiza siku moja, tutapigika, tutachapika, unadhani tutarudia kupuuza?

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Nisiwafiche wakuu mi Nina mashaka tunatafutiwa target, sio punde huenda kikawaka, safari hii utakuja tukiwa tumejisahau hakuna rangi hatutoiona.

Kuhusu inshu yangu ya mziki eti wakuu nishushe audio au msubiri video, kama uko tayari comment " shusha heroshima Mzee baba"
 
Ukiwa care ww mwnyw inatosha
Kwani we uko care? Si umezibaaa tu muone Yani pisi ile inakushobokea mtoto stendi we umezubaaa tu, una matatizo mkuu nielewe na ulifanyie kaziii mjini tunachangamka 24hrs🤣🤣🤣 usipanic bro nakutania🤣🤣🤣 mambo ni haya ✌️ bhaaash
 
Kwamba kama nshapiga mnataka nije nitangaze Humu.? nshamalizana na hiyo kazi kitambo sana 😎
 
Tanga inapiga kifala ,inapiga kama dakika 40 then inapoa. Leo ni kisanga
 
Attachments

  • PXL_20261031_093905987.MP.jpg
    PXL_20261031_093905987.MP.jpg
    1.7 MB · Views: 2
Back
Top Bottom