Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Kila kitu kisha kaa sawa be ready muda wowote naachia kichupa mkuu, mambo ni haya ✌️ bhaassshhhKomaa na mziki
Kila kitu kisha kaa sawa be ready muda wowote naachia kichupa mkuu, mambo ni haya ✌️ bhaassshhhKomaa na mziki
Be care mkuu, HAKIKISHA akiba ya chakula ipo ndani lakini usiwe unaishi mabondeni usije weka chakula ndani kikasombwaTanga inapiga kifala ,inapiga kama dakika 40 then inapoa. Leo ni kisanga
Uhame bondeni unapoishiKwahiyo unataka tutembee uchi ili ujue hatujapuuza Elnino!?
mbona imeshaanza kuchapaNisiwafiche wakuu mi Nina mashaka tunatafutiwa target, sio punde huenda kikawaka, safari hii utakuja tukiwa tumejisahau hakuna rangi hatutoiona.
Kuhusu inshu yangu ya mziki eti wakuu nishushe audio au msubiri video, kama uko tayari comment " shusha heroshima Mzee baba"
Tuzidishe tahadhari sasambona imeshaanza kuchapa
Kaka nicheki dm tuongee basi kuhusu KAZI kaka yanguKwamba kama nshapiga mnataka nije nitangaze Humu.? nshamalizana na hiyo kazi kitambo sana 😎
Samahan unamatatizo ya macho? Hauna miwani karibu? Anyway sijaandika hicho unacho kusema rydia kusoma mkuu