Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Samahan unamatatizo ya macho? Hauna miwani karibu? Anyway sijaandika hicho unacho kusema rydia kusoma mkuuKwaiyo wewe unaweza zuia isije au ije kwa mbwembwe?
Mkuu usiwe wakuu puuzia dunia haiendi hivyo mkuu, be careItatushtukiza au sio?
Unadhani bado tunaishi 1900s.?
Ukiwa care ww mwnyw inatoshaMkuu usiwe wakuu puuzia dunia haiendi hivyo mkuu, be care
Kwani we uko care? Si umezibaaa tu muone Yani pisi ile inakushobokea mtoto stendi we umezubaaa tu, una matatizo mkuu nielewe na ulifanyie kaziii mjini tunachangamka 24hrs🤣🤣🤣 usipanic bro nakutania🤣🤣🤣 mambo ni haya ✌️ bhaaashUkiwa care ww mwnyw inatosha
Kwamba kama nshapiga mnataka nije nitangaze Humu.? nshamalizana na hiyo kazi kitambo sana 😎Kwani we uko care? Si umezibaaa tu muone Yani pisi ile inakushobokea mtoto stendi we umezubaaa tu, una matatizo mkuu nielewe na ulifanyie kaziii mjini tunachangamka 24hrs🤣🤣🤣 usipanic bro nakutania🤣🤣🤣 mambo ni haya ✌️ bhaaash
Dar sehemu ganiKwa dar tayari inapiga Jana joto lilikuwa juu sana
Tanga jana kulikuwa na joto mpaka vumbi ,jioni wingu lilianza kujikusanya ila imeanza jana usiku kama saa 9 hivi na hapa tuna kisanga.Kwa dar tayari inapiga Jana joto lilikuwa juu sana
Dar sehemu gani
Dar nzima kulikuwa na hali kubwa ya jotoDar sehemu gani
HatariTanga jana kulikuwa na joto mpaka vumbi ,jioni wingu lilianza kujikusanya ila imeanza jana usiku kama saa 9 hivi na hapa tuna kisanga.
Acha kunipanga mkuu, alafu mkuu naomba basi nitengenezee video za nyimbo zangu mbili basi mkuu Sina kitu kaka nifanyie fair mkuuKwamba kama nshapiga mnataka nije nitangaze Humu.? nshamalizana na hiyo kazi kitambo sana 😎