Wewe hapo umeongea kama Lumpenproletariat! This can not be the reason! CCM wanachukua bure? Is there a law against that?Tangu TAKUKURU watinge UFIPA zinatolewa bure!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hapo umeongea kama Lumpenproletariat! This can not be the reason! CCM wanachukua bure? Is there a law against that?Tangu TAKUKURU watinge UFIPA zinatolewa bure!
Mpaka muda huu, Chadema haijapata hata mmoja mwenye sifa ya kupeperusha bendera kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Uraisi,Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amekuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais Tanzania kupitia CHADEMA
Isaya anayekuwa mgombea wa 6 kuchukua fomu hiyo Kaulimbiu yake ni "Mageuzi ya mfumo wa elimu, upanuaji na uongezaji wa ajira kwa vijana na mchakato wa Katiba Mpya"
Isaya Mwita amesema haya
Mipango mibaya ya Chama kilichopo madarakani ndio maana vijana wengi nchini hawana ajira, kilimo ndio sekta pekee inayoweza kuajiri Watanzania wengi, nikichaguliwa nitalisimamia kuhakikisha vijana wanaomaliza vyuo vikuu wanapata ajira.
Taifa letu lina changamoto kimataifa na hata ndani, kazi yangu kubwa ni kwenda kuhakikisha nchi ina mahusiano mazuri na wadau wa Maendeleo ndani na nje.
Katiba mpya ndio jambo la kwanza nitakaloanza nalo endapo Chama changu kitaniamini na kunipitisha na hatimaye kuwa Rais wa Tanzania, Katiba itaheshimiwa na kila mtu
CCM tulieni sindano za Lissu ziingie, tafadhali.Lisu huko aliko atatamani kuangua kilio alikuwa aki ji overstate kuwa yeye ndio yeye hakuna mwingine hiyo nafasi ona sasa watu kibao wanainuka.Meseji sent kwake
Mkuu, si ndo hao wapiga Kura?We kapuku Chadema inakuhusu nini ?
Tangu TAKUKURU watinge UFIPA zinatolewa bure!
Kama Magufuli ameweza na mnampamba kila siku basi hata Dr Shika agombee tu.Kwani hawa viongozi wa CDM nafasi ya Urais wa Jamhuri wameionaje. Kama kutoka Sinza madukani kwenda Club Ambiance au?
Waache kuivunjia heshma hii ofisi ya 60m heads + it's blessed natural resources.
CannotWewe hapo umeongea kama Lumpenproletariat! This can not be the reason! CCM wanachukua bure? Is there a law against that?