Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Mambo mengine yanahitaji kutumia common sense zaidi.ulichoandika kina maana gani sasa- au unamnyang'anya haki yake ya kupigiwa na kupiga kura?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine yanahitaji kutumia common sense zaidi.ulichoandika kina maana gani sasa- au unamnyang'anya haki yake ya kupigiwa na kupiga kura?
Yes,hata wao waende tu kuchoma mkaa,wala hakuna atayehoji.Mbona wengine Babu, Mtoto na Mjukuu wote wachoma Mkaa?
Zaidi ya miaka hamsini hakujawahi kutokea mradi mkubwa Zanzibar sawa na Magorofa ya Karume -bisha. Sijui Zaanzibar ilipoteza muelekeo wapi.poleyenuuu kasafishenii yalemajengoiiya..... Hatarangii mmeshindwa
SOMA NILICHOANDIKA NAMPONGEZA SANA YULE MZEE SIJUI WALIOFWATA WALIKOSEA WAPI NA AKUKUWAHI KUONGEZEKA AMA. KUYAJALI YALE MAJENGO MKUUZaidi ya miaka hamsini hakujawahi kutokea mradi mkubwa Zanzibar sawa na Magorofa ya Karume -bisha. Sijui Zaanzibar ilipoteza muelekeo wapi.
democracyMgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM huwa anateuliwa kutokea Chimwaga. It is beyond me how come Wazanzibari wanakubali huu uharamia. Mtu anaweza kuwa wa 7 huko Zenji ili jina lake ndo linarudi na wazanzibar wanafyata mikia yao
uLITAKA ATEULIWE MARANGUMgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM huwa anateuliwa kutokea Chimwaga. It is beyond me how come Wazanzibari wanakubali huu uharamia. Mtu anaweza kuwa wa 7 huko Zenji ili jina lake ndo linarudi na wazanzibar wanafyata mikia yao
Uwe utabiri muzuri!!!!Prof. Mbarawa i wish angekuwa Rais wa Zanzibar, ni mtu makini, msikivu na mchapakazi sanaaa, mtu wa maendeleo kabisa, Mungu amsaidie Prof. Mbarawa.
Uko sahihi nilichanganya majina ni hao wawili hasa Mwinyi ndio chapuo linamwangukiaHapana rais ni mwinyi tupo hapa utaona
Uko sahihi nilichanganya majina ni hao wawili hasa Mwinyi ndio chapuo linamwangukia
Tusubiri tuoneKwa Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan - Fuatilia matukio mbalimbali yanayomhusu, tuonane mwezi wa nane!
👊Kwa Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan - Fuatilia matukio mbalimbali yanayomhusu, tuonane mwezi wa nane!
Fatuma Karume au?Kuna kila dalili Mh. Karume ndiye Rais ajaye wa visiwani Zanzibar. Hata tuseme wanafanya Uraisi ni cheo cha familia kama sio yeye basi atakuwa kijana wa Mwinyi
Kwa Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan - Fuatilia matukio mbalimbali yanayomhusu, tuonane mwezi wa nane!
Fatuma Karume au?