Zanzibar 2020 Namba 1 na Namba 2: Mbwana Juma Bakari na Ali Abeid Karume wamefungua dimba la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM

Mbona wengine Babu, Mtoto na Mjukuu wote wachoma Mkaa?
Yes,hata wao waende tu kuchoma mkaa,wala hakuna atayehoji.

Uwezekano wa mjukuu/Kitukuu/Kining'ina/ Kilembwe au Kilembwekeza wa Karume kuwa Rais upo lakini kwa mtoto mwingine tena huyo anapoteza muda tu.
 
poleyenuuu kasafishenii yalemajengoiiya..... Hatarangii mmeshindwa
Zaidi ya miaka hamsini hakujawahi kutokea mradi mkubwa Zanzibar sawa na Magorofa ya Karume -bisha. Sijui Zaanzibar ilipoteza muelekeo wapi.
 
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM huwa anateuliwa kutokea Chimwaga. It is beyond me how come Wazanzibari wanakubali huu uharamia. Mtu anaweza kuwa wa 7 huko Zenji ili jina lake ndo linarudi na wazanzibar wanafyata mikia yao
 
SOMA NILICHOANDIKA NAMPONGEZA SANA YULE MZEE SIJUI WALIOFWATA WALIKOSEA WAPI NA AKUKUWAHI KUONGEZEKA AMA. KUYAJALI YALE MAJENGO MKUU
 
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM huwa anateuliwa kutokea Chimwaga. It is beyond me how come Wazanzibari wanakubali huu uharamia. Mtu anaweza kuwa wa 7 huko Zenji ili jina lake ndo linarudi na wazanzibar wanafyata mikia yao
democracy
 
uLITAKA ATEULIWE MARANGU
 
Kuna kila dalili Mh. Karume ndiye Rais ajaye wa visiwani Zanzibar. Hata tuseme wanafanya Uraisi ni cheo cha familia kama sio yeye basi atakuwa kijana wa Mwinyi
 
Kwa Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan - Fuatilia matukio mbalimbali yanayomhusu, tuonane mwezi wa nane!
 
Acheni lamli, fanyeni maombi Mungu atupe Rais atakayetimiza malengo ya nchi.
 
Hapo sawa jamaa ana kila sababu ya kuwa rais kule ally karume kwanza ni mbinafsi sn pia watu wa unguja hawamuelewi
Uko sahihi nilichanganya majina ni hao wawili hasa Mwinyi ndio chapuo linamwangukia
 
Samia alikataa na hana muda alishaenda pale kiembe samaki mwaka jana kwenye mkutano wa hadhara na kusema watu nasikia mwasema kua nitagombea Urais mm staki Urais muda wangu ukiisha ntarudi kupumzika nyumbani.

Back
Top Bottom