Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hataki ujinga tena maana anadai walimwibia kura kwani walimpigia kumpa pole walikuwa wengi kuliko KURA alizopata, hivyo amesusa kugombeaMzee Rungwe kipindi hiki hagombei?
Ungeuliza Dovutwa, Hashim Rungwe aliishapitishwa kugombea na chama chake.Mzee Rungwe kipindi hiki hagombei?