Uchaguzi 2020 Namba 2: Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo achukua fomu NEC ya kugombea Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Namba 2: Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo achukua fomu NEC ya kugombea Urais wa Tanzania

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
1596624747689.png
Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo, amekuwa mgombea wa pili kuchukua fomu ya NEC, kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya kugombea kiti cha Urais. Mgombea wake mwenza ni Zainabu Juma Khamis.
 
Hahaha hawa ndio hujipanga Diamond Jubilee baada ya tume kumtangaza asiyeshinda na kusema uchaguzi ulikuwa huru na haki.
 
Huwa hawasimamishi wabunge wala madiwani.
Vyama vya kusherehesha, tunamsubiri Lipumba na Ahmad Mohamed
 
Namsubiri mzee wangu HASHIM RUNGWE akachukue form tuwape lishe bora watanzania.

Udumavu ni changamoto sana Tanzania, udumavu wa akili na Afya ni janga ndio chanzo cha mengi, twende na Rungwe.
Bandari na Bahari zifike Dom pale makao makuu, contena zifike kule watu wadom nao waenjoy honi za meli..
Mashamba yamwagiwe maji na helicopter, Mungu amewapa maarifa mvua ikikata mnashindwa kutumia maarifa, twende na Mzee Rungwe..
 
Back
Top Bottom