Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Habari zenu..
Simba wamesema leo watatawanya bahari kwa wachezaji watakao watambulisha.
Ina maana ni wachezaji wanzuri,sasa simba wajiandae kisaikolojia vinzuri maana yanga watatambulisha namba 6 yao itakuwa boom kwa simba.
Hao wachezaji wa 3 wa simba watafunikwq na mchezaji namba 6 wa yanga.
Namba 6 ipo mjini na ishamalizana na yanga uwiiiiiii uwiiiiii uwiiiii linakufa jitu