Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kisheria Mzee naaanzia miaka 60.Alikuwa na maisha gani magumu mpaka awe hivyo? Hivi mtu akiwa above 50 Ni dogo, au mimi ndio sijui maana ya dogo? Sasa kama mtu yuko above 50 Ni dogo, akiwa na 20 si atakuwa bado anajisaidia kwenye poti?
SIO MPOLE.Ni mpole sana ndo maana akaondolowa wizara ya Mambo ya ndani
Safari ya Kyela lini, achana na Wazenji 😀Kumekucha
Shida ni hiyo tu.Bahati mbaya wenye maamuzi wana vigezo tofauti na vyako...!
Kisheria Mzee naaanzia miaka 60.
Huyo ni mtu mzima na ndio wenye Busara.
Kama kuna ajenda ya kuwajaribu vijana basi sawa, na kwanini iwe Zanzibar Pekee.
Huku kwetu wanagombea wakiwa na miaka Mingapi ?
Chuki kali kwa binadamu mwenzio kama hii!!! Kakugongea mkeo!??huyo jamaa arudie tu kazi yake kuchonga furniture kama mwanzoni halafu pia apambane na afya yake inayozidi kumong'onyoka
wala sina chuki naye ila ni kwa sababu namfahamu pengine zaidi yako mara 10000000, halafu hizo ishu za mke hazikupaswa kuingia hapa kwa sababu si eneo lake na pia sina mkeChuki kali kwa binadamu mwenzio kama hii!!! Kakugongea mkeo!??
Sasa akipitishwa utafanyeje!? Maana unaapa kabisa!wala sina chuki naye ila ni kwa sababu namfahamu pengine zaidi yako mara 10000000, halafu hizo ishu za mke hazikupaswa kuingia hapa kwa sababu si eneo lake na pia sina mke
hakuna sehemu niliyoweka kiapo,Sasa akipitishwa utafanyeje!? Maana unaapa kabisa!
Hizi ndo akili za kushikwa sasaHafai huyo, atavunja muungano
mkuu fatiria na mimi nina huo mpangohv hio fomu hua inalipiwa au ni free nikachukue na mimi ?
Nani kakuambia watz wnapumzikaga kwenye nafasiKastaafu miaka 10 iliyopita anarudi tena ulingoni.Jamani apumzike tu aachie wengine .Kupata hawezi kupata.Anyway ni haki yake kuchukua fomu
basi pita hv na mi nipite tufuatilie tukirudi mmoja awe na jibu inakuaje ili na sisi tuchukue fomu kama ni free...mkuu fatiria na mimi nina huo mpango
poa mkuubasi pita hv na mi nipite tufuatilie tukirudi mmoja awe na jibu inakuaje ili na sisi tuchukue fomu kama ni free...