Zanzibar 2020 Namba 8: Shamsi Vuai Nahodha achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Zanzibar 2020 Namba 8: Shamsi Vuai Nahodha achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Status
Not open for further replies.
Alikuwa na maisha gani magumu mpaka awe hivyo? Hivi mtu akiwa above 50 Ni dogo, au mimi ndio sijui maana ya dogo? Sasa kama mtu yuko above 50 Ni dogo, akiwa na 20 si atakuwa bado anajisaidia kwenye poti?
Kisheria Mzee naaanzia miaka 60.
Huyo ni mtu mzima na ndio wenye Busara.

Kama kuna ajenda ya kuwajaribu vijana basi sawa, na kwanini iwe Zanzibar Pekee.
Huku kwetu wanagombea wakiwa na miaka Mingapi ?
 
Kisheria Mzee naaanzia miaka 60.
Huyo ni mtu mzima na ndio wenye Busara.

Kama kuna ajenda ya kuwajaribu vijana basi sawa, na kwanini iwe Zanzibar Pekee.
Huku kwetu wanagombea wakiwa na miaka Mingapi ?

Hoja yangu haikuwa mzee, bali sio dogo.
 
Huyu atakatwa tu maana ana misimamo sana ya uzanzibari sawa kabisa na MAALIM au GHALIB BILAL
 
huyo jamaa arudie tu kazi yake kuchonga furniture kama mwanzoni halafu pia apambane na afya yake inayozidi kumong'onyoka
Chuki kali kwa binadamu mwenzio kama hii!!! Kakugongea mkeo!??
 
Chuki kali kwa binadamu mwenzio kama hii!!! Kakugongea mkeo!??
wala sina chuki naye ila ni kwa sababu namfahamu pengine zaidi yako mara 10000000, halafu hizo ishu za mke hazikupaswa kuingia hapa kwa sababu si eneo lake na pia sina mke
 
wala sina chuki naye ila ni kwa sababu namfahamu pengine zaidi yako mara 10000000, halafu hizo ishu za mke hazikupaswa kuingia hapa kwa sababu si eneo lake na pia sina mke
Sasa akipitishwa utafanyeje!? Maana unaapa kabisa!
 
Sasa akipitishwa utafanyeje!? Maana unaapa kabisa!
hakuna sehemu niliyoweka kiapo,
halafu kupitishwa kwake si rahisi kama hivyo unadhani (hii mechi kwa zanzibar imeshachezwa zamani sana japokuwa uamuzi hutokea upande wa pili)
 
As long as humo kwenye system kwa sasa, basi usahau Urais wa Zanzibar. Logically haiwezekani kuwa system haikutambui hata kukupa uwaziri halafu ikuone unafaa kukupa Urais. Hizo sio akili bali ni matope. Hata ile influence ya kushawishi watu wakupe support basi inapungua. Watzanznia sisi tunapenda sana kujipendekeza kwa walioko kwenye system. Kuna kikundi cha watu tu wanamshawishi ili wapoge hela zake basi. Mind you, hata Magu alikuwemo kwenye system kwa wakati ule, na ndio ikawezekana kwa yeye kuokota korosho imegandana na bibo lake kwenye shamba la mawese!
 
hv hio fomu hua inalipiwa au ni free nikachukue na mimi ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom