Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kisheria Mzee naaanzia miaka 60.Alikuwa na maisha gani magumu mpaka awe hivyo? Hivi mtu akiwa above 50 Ni dogo, au mimi ndio sijui maana ya dogo? Sasa kama mtu yuko above 50 Ni dogo, akiwa na 20 si atakuwa bado anajisaidia kwenye poti?
Huyo ni mtu mzima na ndio wenye Busara.
Kama kuna ajenda ya kuwajaribu vijana basi sawa, na kwanini iwe Zanzibar Pekee.
Huku kwetu wanagombea wakiwa na miaka Mingapi ?