Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Wadau nimeona mpaka EAM tena huku mkoani kabisa kulikoni namba E inakimbia hivi ni watu wananunua sana magari au walificha magari walipoona namb D inamalizikia au ndio maisha bora kwa kila mtanzania na kama mtuu anataka kumiliki ndinga awe na kipato cha shiling ngapi kwa mwaka ndinga kama premio au Allion 1500cc nimeuliza tuuu