mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
| Clearances | ||
|---|---|---|
| Red cards | ||
| Yellow cards | ||
| Fouls won | ||
| Passes | ||
| Crosses | ||
| Corners won | ||
| Clearances | ||
| Interceptions | ||
| Offsides | ||
| Shots on target | ||
| Duels success rate | ||
| Possession | ||
| 50.5% | 50.5%49.5% | 49.5% |
| 54.8% | 54.8%45.2% | 45.2% |
| 1 | 111 | 11 |
| 3 | 33 | 3 |
| 9 | 913 | 13 |
| 32 | 3215 | 15 |
| 3 | 37 | 7 |
| 24 | 2424 | 24 |
| 694 | 694684 | 684 |
| 22 | 2222 | 22 |
| 2 | 23 | 3 |
| 0 | 00 | 0 |
| 32 | 3215 | 15 |
brazil walikuwa wazuri lakini soft sana, argentina wana game zote, ufundi na fujo kwaiyo ni full package kupambana na croatia.. ni mechi ambayo huwezi tabiri mpaka filimbi ya mwishoTakwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)!! Kwa takwimu hizi, Argentina watie maji mapema vinginevyo watanyolewa kavu kavu!!
Match stats
Possession Duels success rate Shots on target Offsides Interceptions Clearances Corners won Crosses Passes Fouls won Yellow cards Red cards Clearances 50.5% 50.5%49.5% 49.5% 54.8% 54.8%45.2% 45.2% 1 111 11 3 33 3 9 913 13 32 3215 15 3 37 7 24 2424 24 694 694684 684 22 2222 22 2 23 3 0 00 0 32 3215 15
Endelea kupenda tu ila umahiri uwanjani utaamua bingwa naniNapenda sana final iwe Croatia vs Morocco.
France kombe analo la 2018, Argentina tayar alishawahi kuchukua. Wacha wengine wachukue.
Ndio ukweli huo ndugu utajionea mwenyeweNapenda sana final iwe Croatia vs Morocco.
France kombe analo la 2018, Argentina tayar alishawahi kuchukua. Wacha wengine wachukue.
Lete manenoTBT- France vs Croatia
Once again......
Wewe shetani kule unajifanya hutaki utabiri kumbe tatizo lako ni Argentina na Messi kushinda? Pumbavu sana wewe.Muda ni hakimu mwema mno
World cup sio kanisani kwamba upewe kombe kwa kuhurumiwaNapenda sana final iwe Croatia vs Morocco.
France kombe analo la 2018, Argentina tayar alishawahi kuchukua. Wacha wengine wachukue.