Namba hazidanganyi, Mwinyi aliitoa Tanzania kutoka GDP ya dola bilioni 13.5 mwaka 1985 mpaka dola bilioni 5.7 mwaka 1995

Namba hazidanganyi, Mwinyi aliitoa Tanzania kutoka GDP ya dola bilioni 13.5 mwaka 1985 mpaka dola bilioni 5.7 mwaka 1995

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Hizo ndio takwimu zinavyoonesha. Nchi iliporomoka vibaya sana katika miaka hiyo kumi alipokuwa anaongoza rais mstaafu Mwinyi.

Alishindwa kufanya makubaliano mazuri ya kiuzalendo na IMF na WB ili uchumi usiporomoke

Mwaka 1985

Screenshot_20221113-125339.jpg

Mwaka 1995

Screenshot_20221113-125101.jpg
 
Unataka kusemaje kuhusu wazanzibar? Maana bimkubwa ameturudisha uchumi wa chini kutoka uchumi wa kati
 
Back
Top Bottom