Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 270
- 362
Hivi ni takwimu walitoa Benki Kuu ya Tanzania mwanzoni mwa mwezi Machi 2022. Takwimu zinaonesha kwamba shughuli za utoaji wa huduma zimeimarika zaidi hadi kufikia Machi 2022 ukilinganisha na kipindi kama hicho Machi 2021.
Haya yote ni matunda ya kufunguka kwa uchumi, utalii na pia kuboreshwa kwa mazingira ya kibiashara nchini. Kwa hili nampongeza sana Rais Samia Suluhu kwa kazi kubwa anayofanya.
Haya yote ni matunda ya kufunguka kwa uchumi, utalii na pia kuboreshwa kwa mazingira ya kibiashara nchini. Kwa hili nampongeza sana Rais Samia Suluhu kwa kazi kubwa anayofanya.