Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 270
- 362
SOON UTAZIDI KU SHINEKwakweli Bi Mkubwa sina shaka naye kabisa, hata mimi hela naanza kuiona mfukoni, tofauti na kipindi cha yule Bwana, nilishaanza kupauka kwa ukata.
Amen KuuSOON UTAZIDI KU SHINE
Hata wale waliosema sijui tozo zitakimbiza watu kutumia mitandao,majibu yao haya hapa πHivi ni takwimu walitoa Benki Kuu ya Tanzania mwanzoni mwa mwezi Machi 2022. Takwimu zinaonesha kwamba shughuli za utoaji wa huduma zimeimarika zaidi hadi kufikia Machi 2022 ukilinganisha na kipindi kama hicho Machi 2021.
Haya yote ni matunda ya kufunguka kwa uchumi, utalii na pia kuboreshwa kwa mazingira ya kibiashara nchini. Kwa hili nampongeza sana Rais Samia Suluhu kwa kazi kubwa anayofanya.
Tozo kama zipi hizo zilizosababisha mfumuko mkubwa wa bei au unaropoka tuu..Kuna mfumuko mkubwa Sana wa Bei wa bidhaa uliotokana na TOZO na Bei ya mafuta ambazo Zina Kodi 23.
Msilazimishwe mtu apendwe, Aje tu mwingine, Urais sio zawadi Kwamba Tumzawadie.Tozo kama zipi hizo zilizosababisha mfumuko mkubwa wa bei au unaropoka tuu..
Kati ya Nchi hizi hapa wapi kuna mfumuko mkubwa wa bei? π
Anapewa au atagombea na kushinda? Na nyie wekeni mtu wenu shida iko wapi?Msilazimishwe mtu apendwe, Aje tu mwingine, Urais sio zawadi Kwamba Tumzawadie.
Amalizie yote alotumwa akiwa na uncle apumzike.
Akisaidia kurudisha mchakato kupitia Rasimu alosimamia WARIOBA wa KATIBA mpya kupatikana atakumbukwa sana hata na wajukuu zake. Amen.
Mnataka kuleta Takwimu za kupika Ili kuhadaa watu.Anapewa au atagombea na kushinda? Na nyie wekeni mtu wenu shida iko wapi?
Mwisho,ulichojibu ndio kinahusianaje na maelezo uliyoyanukuu?
Zikipikwa na wewe unaleta Takwimu sahihi badala ya kulia Lia kama ngedere..Mnataka kuleta Takwimu za kupika Ili kuhadaa watu.
Hawezi gombea kama hamna uchaguzi, tunaandika KATIBA mpya kwanza ndo tuende Kwa uchaguzi.
Endeleeni kupiga MAPAMBIO mkisifu na kuimba, maana hata aliyepita ilikuwa hivi hivi.Zikipikwa na wewe unaleta Takwimu sahihi badala ya kulia Lia kama ngedere..
Samia ni next level π
Wewe unaetumia Lita 10 za mafuta Kwa siku hakuna nafuu utaiona ila wenye mabasi ya masafa ,mitambo nk wanashukuru Sana..Endeleeni kupiga MAPAMBIO mkisifu na kuimba, maana hata aliyepita ilikuwa hivi hivi.
Nchi hii Uchumi unategemea KILIMO kama backbone, zaidi ya 70% ni wakulima na wafugaji.
Punguzo la sh 100, kwenye Bei za mafuta litachangia Kwa kiasi Gani kupunguza mfumuko wa Bei mf ya mbolea iliyoongezeka Kwa zaidi ya 400%?
Kwa Maana Bei Dec 2020 mfuko wa mbolea ulikuwa 25,000 hivi sasa June 2022 mbolea inauzwa 85,000.
Nijibu Kwa data we mpuliza filimbi!!!π π π
MkuuEndeleeni kupiga MAPAMBIO mkisifu na kuimba, maana hata aliyepita ilikuwa hivi hivi.
Nchi hii Uchumi unategemea KILIMO kama backbone, zaidi ya 70% ni wakulima na wafugaji.
Punguzo la sh 100, kwenye Bei za mafuta litachangia Kwa kiasi Gani kupunguza mfumuko wa Bei mf ya mbolea iliyoongezeka Kwa zaidi ya 400%?
Kwa Maana Bei Dec 2020 mfuko wa mbolea ulikuwa 25,000 hivi sasa June 2022 mbolea inauzwa 85,000.
Nijibu Kwa data we mpuliza filimbi!!!π π π
Macho ninayo, niliwahi kununua petrol Kwa sh 1800 Kwa huyu huyu mnaemtukana, ilkuwa nov 2020.Wewe unaetumia Lita 10 za mafuta Kwa siku hakuna nafuu utaiona ila wenye mabasi ya masafa ,mitambo nk wanashukuru Sana..
Mwisho haihitaji pambio na macho unayo.
Mazingira ya kisiasa Duniani ya wakati huo yalikuwa sawa na Sasa?Macho ninayo, niliwahi kununua petrol Kwa sh 1800 Kwa huyu huyu mnaemtukana, ilkuwa nov 2020.
Gharama za usafirishaj trucks za mizigo Kutoka Dar Hadi msm Bei imepanda Kwa 1 million Kwa route moja. Imefika 2m Kutoka 1m.
Walitegemea punguzo la maana, mnapunguza sh 50, mnatuonaje?
CCM ni Ile Ile, tukishughulika na CCM ikang'oka tutapumua maana mnanufaika na ugumu wa maisha ya Watanzania.
Si kwasabab za tozo za miamala kuwa juu, watu wamekwepa kutumia huduma za kibank kwa wingi na kuacha mitandao pesa ambapo imewaajiri vijana na wengi mtaani, ukiwaza kuundani unona ni namna gani umasikini utaongezekaHivi ni takwimu walitoa Benki Kuu ya Tanzania mwanzoni mwa mwezi Machi 2022. Takwimu zinaonesha kwamba shughuli za utoaji wa huduma zimeimarika zaidi hadi kufikia Machi 2022 ukilinganisha na kipindi kama hicho Machi 2021.
Haya yote ni matunda ya kufunguka kwa uchumi, utalii na pia kuboreshwa kwa mazingira ya kibiashara nchini. Kwa hili nampongeza sana Rais Samia Suluhu kwa kazi kubwa anayofanya.